Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF


Hiyo Part ya mwisho ndo imemiss kwa jamaa. Je baada ya kukandwa alipona?/ Alivyoamka asubuhi alijiskiaje
 
Si umewaita mwenyewe? Hayo ni majini na yatakusumbua sana. Unatakiwa utafute
mchungaji akuombee maana tayari wamo ndani yako.
 
Sizani kama jini anavaa nyeupe ni vipi kama nikikwambia Hawa ni yesu utasema nini
Ndio kaka shetani wa zama za mwisho atakuja kama mtakatifu na mavazi meupe

YESU KRISTO haambatani na udi kaka

Udi ni kwa ajili ya uchawi, ushirikina na uganga na majini

Fatilia ujue MUNGU haambatani na udi dungu yangu
 
Hiyo Part ya mwisho ndo imemiss kwa jamaa. Je baada ya kukandwa alipona?/ Alivyoamka asubuhi alijiskiaje
Mtu akipost hivo watu wanadhania ni utani! Ni vitu ambavyo vinafanyika ila hatuna au ni watu wachache wenye access navyo!
Sio story! Kuna vitu vingi vinatokea kwenye huu ulimwengu watu hatuvijui au hatutaki kujifunza.

Mfano; hapa ninapoishi sahizi kabla sijahamia nilishaoneshwa katika ndoto.Siku nimefika namwambia mwenzangu mbona hapa nilishawahi kuja pako hivi hivi kama nilivooneshwa kwenye ndoto.

Nyingine Kijijin kwa Wife nilioneshwaga kwenye ndoto kabla hata sijawahi kuonana nae Siku tumeenda mpaka nikawa namwambia mbona huku nilishafika kijiji kipo milimani, udongo mwekundu nyumba zipo hivi na hivi.

Nyingine; huwa naota naponya watu magonjwa mbali mbali; vichaa, e.tc.
Na wengine nikiwaombea uponyaji wanapona kabisa.
E.t.c
 
Kuna madhara yoyote ikitokea hivyo?

Mfano sleep paralysis
 
Tatizo watu Wana dharau sana ila ipo siku yatawafka shngon
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • male-drinking-tea-732x549-thumbnail.jpg
    43.3 KB · Views: 18
Kuna madhara yoyote ikitokea hivyo?

Mfano sleep paralysis

Sleep paralysis inatakiwa kuchunguzwa na kuona kama haiandamani na tatizo la kiafya. Kwani kuna matatizo ya kiafya ambayo huleta sleep paralysis ambayo si vyema kuyafanyia kazi. Mfano: matumizi ya dawa za kulevya au kuleta usingizi, stress/ Post traumatic(PTSD) nk. Kama ikikutwa inatokea yenyewe tu au sababu si hatarishi kiafya haina shida.
 
mm nilikuagana sali kisha wakijanawaona huku nipo macho unaonakabisa watu wawilehao wanaingia room ila ni gizani na unawaona kama ni mweupe au mweusi ilasura hawajulikanag . Lamhimu uwe unasali mkuu utakuaga salama.
 
Acha kulala chali.

Pata muda mwingi wa kupumzika.
 
Ndio kaka shetani wa zama za mwisho atakuja kama mtakatifu na mavazi meupe

YESU KRISTO haambatani na udi kaka

Udi ni kwa ajili ya uchawi, ushirikina na uganga na majini

Fatilia ujue MUNGU haambatani na udi dungu yangu
Udi,ubani,marham na n.k vimetajwa sana agano la kale kule kwenye maandiko Hadi agano jipya marham ikipakwa kwa miguu ya Jesus!!

Inakuaje mashetani !!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…