NILICHOKIONA RITA AISEE VUDUME MKAE VIZURI

NILICHOKIONA RITA AISEE VUDUME MKAE VIZURI

barnabas masoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
1,299
Reaction score
660
Basi katika fatilia cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nilichokiona kilinistua sana mpaka nikaamua Fanya uchunguzi usio rasmi katika ofisi za Rita mbeya.
Nikiwa nasubiliankukabidhiwa cheti change,ghafla anaingia Dada mmoja akiwa kabeba mtoto asiezidi hata Mwaka,
Anauliza taratibu za kupata cheti cha mwanae,anaelekezwa kuwa cheti cha kichanga hicho ni bure aende kwenye hospital au kituo chochote cha wazazi atapewa ila abebe na kadi za kliniki za mtoto.
Anapumua kwa nguvu kisha anasema aisee naomba tu nisaidie unipatie.anakataliwa kisha anatoka nje nikiwa natoka nikamkuta nje,akaanza kuniuliza maswali ambayo yakafanya nimbaini kuwa alikuwa na nia ovu.
Nilichogundua toka kwa Dada yule ni kuwa mwanae ana baba zaidi ya mmoja.na pale kuna baba alishaona Nina la kichanga na sasa anatafutiwa baba mwingine nae cheti.nilimuuliza una kadi ya kliniki akasema hana.hospital kadi hawakukupa jibu nimepoteza
Kengele ya hatari ikalia nikambana zaidi akafunguka kwa kuwa nilimuaid kumsaidia ili aniambie ukweli.baada ya kumbain nikamwambia nikujute hapo kisha nikachapa raba
 
Watamkatalia labda abadili jina la Mama, Siku Hospital aliyozaliwa mtoto
 
Sasa umeandika nini

Hebu kaa chini uandike vizuri

acha papara au na wewe huyo mtoto uliyemchukulia cheti unahisi sio wako??
 
Watamkatalia labda abadili jina la Mama, Siku Hospital aliyozaliwa mtoto
kiini cha mada hakipo kwenye kukubaliwa au kukataliwa kupata cheti kiini cha mada ni hayo matendo maovu wanayofanya baadhi ya wadada kwa kuwa na wababa watoto zaidi ya mmoja kwa mtoto mmoja...kiukweli nia aina ya uovu mbaya na ukatili
 
Wote mlioshindwa kuelewa huu uzi itakua mna frustrations.

Hoja ipo wazi. Kua ukiwa kama baba unaweza ukaona jina lako kwenye cheti cha kuzaliwa ila na mwingine akawa ana cheti chenye jina lake na mtoto ni huyo huyo mmoja.

Ila kwakua mnapenda kutafuniwa na kufuata mkumbo mnaandika tu shit hazieleweki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom