Mkuu nazani ulichelewa tu kufika mapema....
Nilifanya usaili wao pale,bahati mbaya marks hazikutosha dakika za mwisho ......
Nilienda hadi kwenye oral walimchukua mdada mmoja hv....!!
Tuliwekea tape ya radio swali la kwanza hadi 20,zen ikaja vocabulary,tenses,na grammar,reading skills,maswali yao hua yapo kimitego sana......