Nilichokiona leo Osterbay Police..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,382
676
Leo mida ya saa 5 asubuhi nikiwa osterbay police,
ghafla Mkurugenzi wa kampuni ya Sincon ltd.. iliyokua na tenda ya kufanya usafi pale soko la kariakoo, bwana Peter Siniga..
amemleta mwanae kituoni na kumweka ndani kisa upotevu wa kitenge chake alichohifadhi kabatini kwake kimepotea..
Nilicheka sana moyoni..
Pia jinsi yule kijana wake alivyo anaonekani Si mtoto riziki..
Ni hayo tu ya jpili..
 
Mpenda ulabu hamna imani za ushiriki'A'na kweli hapo? Mbona thaman ya ktenge na kutafuta polisi zalingana? Hapa kuna maswali zaidi ya majibu.
 
Inawezekana ni mla unga huyo na amemchomolea mafedha mengi pamoja na hicho kitenge. Sasa ameona aibu na kusema kitenge tu.
 
Inawezekana anabwia unga sasa anamtafutia kesi ya adhabu ndogo kwani wanadai akikaa lupango miezi 6 anaacha kabisa
 
Inawezekana anabwia unga sasa anamtafutia kesi ya adhabu ndogo kwani wanadai akikaa lupango miezi 6 anaacha kabisa
Mkuu anaacha kabisa au ndo anarudi bwabwa, sababu huko watakuwa wanamtafuna ndo wanampa huo unga!!!
 
Ni mtoto wa kiume.. Kwa kukadiria ana umri kati ya miaka 18 mpaka 20...
Gazeti la udaka la Risasi lilisha mtoa hv karibuni akiwa na Joketi..
 
hapo kutakuwa na mambo ya kishiriki... Mana kitenge uje kumtia ndan na kama co hcho bac kunamengne?
 
wakuu issue hapa sio kitenge...nadhan ndani ya hicho kitenge kuulihifadhiwa kitu fulan cha thamani sana ambacho mzazi hathubutu kukitaja..akijua alipelekewa kitenge basi mali yake ingine imepatikana..think deep... bongo darisalamu hapa
 
Leo mida ya saa 5 asubuhi nikiwa osterbay police,
ghafla Mkurugenzi wa kampuni ya Sincon ltd.. iliyokua na tenda ya kufanya usafi pale soko la kariakoo, bwana Peter Siniga..
amemleta mwanae kituoni na kumweka ndani kisa upotevu wa kitenge chake alichohifadhi kabatini kwake kimepotea..
Nilicheka sana moyoni..
Pia jinsi yule kijana wake alivyo anaonekani Si mtoto riziki..
Ni hayo tu ya jpili..

wee polisi au ulikuwa umehifadhiwa kwa muda hapo pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom