Nilichokiona jana usiku

Tupe mrejesho nini kiliendelea baada ya fumanizi,
Ila kwa mtindo huu kuna kuoa kweli?
Jioni ntawapa mrejesho ila mzee aliacha nguo zake huko pia yule mwanamke ali format simu yake ili kufuta ushahidi
 
Wanachosha mnoo.. Mi nimewaletea tukio lilitokea jana ili wote tujifunze kitu lakini wanabisha
Nani alitongoza mwenzie na je mme wa mtu anamtimizia vipi mahitaji mke wake? Je si nasoma humu kila siku kuwa michepuko haiepukiki hivyo michepuko ni kwa wanaume tu?
cc; funzadume.
 
Nani alitongoza mwenzie na je mme wa mtu anamtimizia vipi mahitaji mke wake? Je si nasoma humu kila siku kuwa michepuko haiepukiki hivyo michepuko ni kwa wanaume tu?
cc; funzadume.
Kwahiyo unataka kusema mwanamke hana kosa?
 
Mtoto mwezi 1 mkuu.any way ngoja nijilazimishe kukuelewa.lla uyo pimbi ungemuacha wampe onyo.
 
Kwahiyo unataka kusema mwanamke hana kosa?
Wote wana makosa hivyo usihukumu mtu mmoja tu. Ungekuwa siyo biased ungemkamata yule mwanamme ili naye apate haki yake. Umetuelezea tayali mke wa mtu ana mtoto mchanga na amefunga ndoa juzi juzi hivyo watu wanaweza unganisha dots na kumfahamu. Kwanini hukumtaja huyo mzee aliyefumaniwa na anakaa wapi na ofisi yake ili naye ajulikane?
 
Hivi kwani mwanamke akijifungua k inarudi baada ya mda gani i mean iwe sawa kama zamani
 
unaenda nyumbani kwa mwanamke? tena mke wa mtu?
 
Jioni ntawapa mrejesho ila mzee aliacha nguo zake huko pia yule mwanamke ali format simu yake ili kufuta ushahidi
Aisee, tunasibiri kuona nini kitaendelea. Ila mm binafsi mapenzi na huyo mwanake yataishia hapo na huenda nikamrudisha ili kuepusha madhara mbeleni
 
Hii kawaida tu kuna jamaa alimfuatilia mdada mmoja akamtolea nje akaja kumkubalia akiwa na ck tatu tangu ajifungue jamaa akamla siku ya NNE akiwa amejifungua hawa viumbe acha tu
Hivi siku ya4 baada ya kujifungua hakuwi kumetanuka jaman daah kuna hata ile la ladha kwa wale wajuvi wa mambo
 
Yaani hata kama ni wewe lazima uwe njia panda kwa maamuzi utakayochukua kwa huyo mzee maana unafahamiana naye...
Sasa chukulia kamdaka huyo mzee halafu yule kijana mwenye mke kafika kampiga yule babu na kimuua chanzo huoni kama utakuwa ni wewe?
 
Daaah yaani wanawake sijui wana shida gani jamani yaani mtoto wa mwez mmoja kweli mtu unachepuka unajua kuna vitu vinatia hasira sana kwakwel

Yaani bora kuto kuoa tu....
Mkuu apatae mke apata kitu chema nae ajipatia kibali kwa Bwana oa tu mkuu Mungu atakupa mke mwema
 
Ulifanya kosa kumuacha aende..kuna siku utashangaa kumuona na mkeo kitandani kwako...ungemuacha wa mpe kichapo bt wasimuue tu...mke anauma asee.
Pale nyomi ikishajaa wanaweza kumuua na usiwe na maamuzi yoyote aisee
 
Mi sijaelewa mara ofisini mara kuna kitanda na sofa maeneo hayohayo ya ofisini.
 
Huyo mwanamke atakua na ny.ege mshindo...

Kaolewa juzi, mara hii anatoka nje ya ndoa tena mtoto akiwa mchanga bado...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…