Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

sawa kaka mtu vipi huyo mdogo wako umempa wosia namna ya kuishi
 
sawa kaka mtu vipi huyo mdogo wako umempa wosia namna ya kuishi

Nimempa mkuu nadhani na yy anaelewa wapi ametoka na kiasi alivyosota...............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Mkuu usajili pale ni wa hovyo kwa mtu ambaye anaenda kwa mara ya kwanza atahangaika sna mpaka kujua utaratibu.Alafu kuna vitu kila siku vinaibuka hii inaleta usumbufu kwan unaweza ukawa umeshakamilisha kitu flan baadae waka kwambia ufanye tena na vitu vingine
 
Sas mkuu mbona kwetu haikuwa hvyo mambo yalienda poa kabisa.....................

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
hakuna me mwenyewe nipo nit nafanya reg
wanafunz tumelunikwa ktk kieneo kimoja km mayai
utaratibu ni mmbovu sana coz watu ni weng mno
 
hakuna me mwenyewe nipo nit nafanya reg
wanafunz tumelunikwa ktk kieneo kimoja km mayai
utaratibu ni mmbovu sana coz watu ni weng mno

Mkuu nadhan hujaona kero kwny vyuo vingne ndo maana umesem pale utaratb mbaya ila kiukweli mm nmeenda vyuo ving kwa mwaka huu nit utaratibu wao mzur mnoooo............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Tupo mfano wa hayo
 
Hujielewi wewe,elewa nilichomaanisha,NIT ni imetutoa kimaisha,au unadhani ukisema madereva ni kisehemu maana yake hawa siyo waTanzania?fungua chuo tuone unakiendeshaje,watu wamepita hapo na kisha wakapata mwanya wa kuingia mahala ambapo hawakutegemea nikiwepo na mimi hapa Senior driver.
 
Sas mkuu mbona kwetu haikuwa hvyo mambo yalienda poa kabisa.....................

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Anazungumzia miaka ya 2000

Hajui dunia imebadilika sasa
 
Anazungumzia miaka ya 2000

Hajui dunia imebadilika sasa

Inawezekan anasemea miaka ya 90's huko wakati wa analogy............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
yaani utaratibu wao wa utoaji risiti ni mbovu mno...yaani nipo hapa kwenye muembe nipo nipo tu kama pia....waache ukale......tunapoteza muda aseeee
 
yaani utaratibu wao wa utoaji risiti ni mbovu mno...yaani nipo hapa kwenye muembe nipo nipo tu kama pia....waache ukale......tunapoteza muda aseeee
Ahahah pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…