kinachukuuma nini sasa???? au kwa kuwa umekosa mgaoNimelazika kufika Central Polisi hapa Dar Es salaam, nimekuta Majembe mwenyewe anagawa samani kwenye ofisi za pale kituoni. Amegawa meza, Kabati na viti. Polisi nao siku hizi kila mwenye pesa anapigiwa Saluti hawakusita kufanya kitu hicho kila walipokuwa wakimwona Bw. huyu Nikajiuliza maswali kidogo, :- mbona wanaohitaji hivi vitu ni wanafunzi mashuleni na sio pale Polisi? Hata kama ni polisi kwanini sio kwenye vituo vidogo vidogo huko nje ya jiji? Mi nikajua tu ni hongo kwa jeshi hili ili yeye aweze kukingiwa kifua kwa ujambazi anaoufanya ambao umekuwa kero hapa mjini.
Nimelazika kufika Central Polisi hapa Dar Es salaam, nimekuta Majembe mwenyewe anagawa samani kwenye ofisi za pale kituoni. Amegawa meza, Kabati na viti. Polisi nao siku hizi kila mwenye pesa anapigiwa Saluti hawakusita kufanya kitu hicho kila walipokuwa wakimwona Bw. huyu Nikajiuliza maswali kidogo, :- mbona wanaohitaji hivi vitu ni wanafunzi mashuleni na sio pale Polisi? Hata kama ni polisi kwanini sio kwenye vituo vidogo vidogo huko nje ya jiji? Mi nikajua tu ni hongo kwa jeshi hili ili yeye aweze kukingiwa kifua kwa ujambazi anaoufanya ambao umekuwa kero hapa mjini.

Acheni kushoboka kwa vitu vinavyorushwa bila,kufikiri. Kakuta furniture zinapangwa, anakurupuka kuwa eti ni msaada au rushwa, kamuuliza nani akamjibu hivyo. Wewe ukinunua furniture mwenye duka akija kukufungia kakupamrushwa. WaTZ ndio maana maisha yanatushinda sababu ya kuishi maisha ya kufikirikaMgao? Msaada? Yaani nchi yetu tumefilisika kiasi cha watu binafsi kutoa msaada kwa polisi direct? Kesho akifanya kosa watathubutu kumkamata?
Acha umbeya wewe sijui mwanaume au mwanamke
Acheni kushoboka kwa vitu vinavyorushwa bila,kufikiri. Kakuta furniture zinapangwa, anakurupuka kuwa eti ni msaada au rushwa, kamuuliza nani akamjibu hivyo. Wewe ukinunua furniture mwenye duka akija kukufungia kakupamrushwa. WaTZ ndio maana maisha yanatushinda sababu ya kuishi maisha ya kufikirika
Acha umbeya wewe sijui mwanaume au mwanamke
Mgao? Msaada? Yaani nchi yetu tumefilisika kiasi cha watu binafsi kutoa msaada kwa polisi direct? Kesho akifanya kosa watathubutu kumkamata?
Hiyo ni rushwa.
Waliopokea na yeye wote wana makosa.