iphone inaududu mwingi sana sema wewe ni wa kitambo umechakaa mzeee ....Very easy to use iphone but very complex kwa watu wenye utoto mwingi maana inaitaji akili tulivu kufanya utoto kwenye iphone Over !!
Am out
Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto.
Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!
Kama ku operate tu ni shida,ungeambiwa ukae na kuanze ku program features za simu ingekuwaje?
Umeona sasa mzee wew pia na mleta mada mnautoto mwenzio kanunua kitu kwa mkumbo kma mtoto na wewe unamsapoti aisee
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.
1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.
In short apple complicate everything.
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....
Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu
Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
Zitaje?wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia
πππππππWale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
Ni kama ka prison kadogo hivi.iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....
Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu
Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
From samsung, so much feature and interface design, apple ni msanii mbovu mwenye ngekewa