Nilichokifanya baada ya kutendwa

watu wana mambo humu kwahiyo hamsini hawtoshi aongeze etii..?
 

Hakika Mkuu safi sana Jibu nzuri.
 

Ni nimepiga wanawake million na usheee
 
Kijana mwenzangu! , unahitaji KUSAMEHE kwanza . Toa msamaha kwa alokufanya uwe ivo, pia Omba msamaha kwa hao uliowachezea , then vunja maagano na wanawake wote ulifanya maagano nao, Jipatanishe na Mungu . Hakika utaishi kwa amani na utampata someone special for you.
 
Sikiliza kijana wangu, yupo Yesu ambae anakupenda na yeye ni mfalme wa amani. Ukimkaribisha Yeye utapata amani ambayo Ulimwengu huu hauitoi.mkiri kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka
 
bado unahitaji kuambiwa ufanyeje huku uliamua mwenyewe kwa makusudi

"baada ya tukio hili niliamua kuwa playboy"

baada ya matukio uliopitia amua kuacha kuwa playboy
 
Hauko sawa na haukua sawa kimwili kifikra na vitendo pia ndio maana girl uliekua nae alikutafutia ambae yupo vizur japo nae alikupenda ila hukutimiza matakwa yake laiti ungelikua timamu ungetafakari wapi unamapungufu kabla ya kutenda hayo uliyoyatenda..,jitambue,jithamini,jipende na ujiheshimu mengine yatafata
 
Na magonjwa ya zinaa umepata mangapi? Huku JF umeopoa wangapi? Naona unatekeleza "bado nipo nipo kwanza kwa vitendo", Mwana FA aliimba tu, na neno lake sio sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…