Nilichojifunza vita ya Hamas na Israeli

Nilichojifunza vita ya Hamas na Israeli

Allah ni kiarabu hivo iwe Quran au Biblia ya kiarabu inatumia neno Allah hivohivo kama.

Allah - Kiarabu
God - kiingereza
Mungu - Kiswahili
Yahweh - Kiebrania
Deus - kireno
Theos - Kigiriki
Dio - Kiitaliano
Dieu - Kifaransa
Gott - Kijeruman

Msiyumbishwe na maneno ya vijiweni! Wote tunaabudu Mungu mmoja ndiyo msingi wa iman zetu sio Waislamu wala Wakristo.
KILA MUNGU ANA JINA LAKE KUTOKANA NA DINI YAKE.
HAPANA BIBLIA ZA KIARABU HAZITUMII ALLAH NA NDIO MAANA INDONESIA WALIZICHOMA MOTO.....FUATILIA HICHO KISA..
BIBLIA ZOTE ZINATUMIA JINA LA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA....
SABABU WAKRSTO WANAMUABUDU YEHOVA.....
SIFA ZA YEHOVA MUNGU WA KIYAHUDI NI TOFAUTI KABISA NA HUYO MUNGU WA KIARABU ALLAH...
USITUDANGANYE MKUU...
 
Nimesema msingi wa Iman hizi ni moja kuamini kwamba kuna Mungu mmoja tu! Leo hii kuna ukiacha Mohamad (S.W) na Yesu kuna Nabii kakosekena katika pande zote 3? Wote mnaelekea kulekule tu
HAKUNA MUNGU MMOJA...KILA DINI DUNIANI INA MUNGU WAKE....
WAYAHUDI NA WSKRSTO WANA MUNGU WAO....
WAISLAMU NA WAARABU WANA MUNGU WAO..
WAHINDI WANA MUNGU WAO...
WACHINA USIWACHANGANYE NA WAUGUR WATURK WAISLAMU WANA MUNGU WAO
WABUDHA PIA
 
Lakini kumbuka neno Mungu lina wakilisha miungu wote haijalishi ni wa kweli au sio wa kweli.
Kwa hiyo kutumia neno Mungu kwenye dhahaka tiyari unakuwa ume mdhihaki mpaka mungu unaye amini ni mkweli kwa sababu na mwenyewe ana tumia jina hilo hilo la Mungu.
Kila Mungu ana jina lake.......na ni sawa kudhiaki mungu asiyekuhusu....kama waislamu wanavyomdhiaki mungu wa wakrsto YESU
 
Heri ya mwaka mpya bandugu.

Nisiwapotezee muda wenu ila niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa mnaofatilia kwa ukaribu mapambano ya vita kati ya mahasimu wa kihisoria, nazungumzia wapalestina na wa Israel sina shaka mtakubaliana nami juu ya mambo kadhaa.

Wakati ukichangia uzi wangu chondechonde weka mbali kasumba yako ya Imani uliyoletewa na wakoloni wa kizungu ama waarabu Ili twende sawa.

Nimejifunza haya:
1.Usimchukulie powa adui yako vinginevyo litakukuta la kukukuta ufedheheke kama si kufutika duniani.

Vyovyote iwavyo adui unaemdharau akikushambulia, usikurupuke , tumia mda mchache kumsoma na kuangalia namna ya kummaliza ukiwa na taarifa sahihi dhidi ya udhaifu wake. Kama huna maandalizi ya kutosha,kimbia umwepuke kuepusha hasara na madhara kwako.

2.Hizi mbwembwe za kujiita sijui komandoo, jenerali, kikosi maalum, oooh sijui special forces ni mbwembwe tu kwenye uwanja wa vita. Hayo mavyeo na manyota kama upupu hayana msaada sana kwenye uwanja halisia wa mapambano.

Kwenye uwanja wa vita hata mkaanga chipsi na mchoma mihogo anayo nafasi kubwa ya kumlaza komandoo ama jenerali ama kuteketeza msafara mzima wa hao wanao jiita wenye mafunzo ya hali ya juu ya kijeshi.

3.Vita ya darasani haina msaada mkubwa kwenye uwanja halisia wa mapambano. Vita ya darasani inafaa sana kutengeneza move za kutizamia sebuleni.

4. Vita inahitaji unyumbulifu sana wa akili, nafasi na mwili Ili uweze kukabiliana na kummaliza adui yako. Vita ya kileo haina chakuficha wala propaganda. Vita ya Sasa inapiganwa live, na ukipigwa unaonekana live dunia nzima kuwa umekong'otwa. Hapa ndipo aliekuwa anakuheshimu anashikwa na butwaa jinsi unavyopoteza kiboya boya.

5. Manguo na magwanda ya kutishatisha sio msaada wakati wa mapambano. Kumbe hata jeans na tishirt tu mambo yanakwenda powa tu

6. Uwingi wa vifaa vya mapigano na ma mitambo ya ajabuajabu kumbe ni mbwembwe tu kama askari hana akili na maarifa ya ziada ya kucheza na mazingira ya eneo la mapigano anapigwa na makorokoro yake kama amesimama.

7. Kuna haja na umuhimu wa majeshi yetu kutengeneza vikosi maalum Kwa ajili ya guelliar war maana ndio yenye mafanikio zaidi. Mapigano ya msituni na mitaani kwa guelillar ambush yanatoa matokeo bora zaidi(kama we ni mfuatiliaji wa kile kinachoendelea huko Gaza utakubaliana na mimi)

8.IDF ni dhaifu sana na mweupe kwenye ground war. Kwenye nyanja hii nya mapigano ndipo amepatia hasara kubwa kulinganisha na angani na maji. Wapalestina wameonyesha umahiri mkubwa sana kupambana na jeshi kubwa na linaloogopeka duniani.

9.Hakuna adui myonge wa kudumu kwenye mapigano. Uliempiga jana anaweza kukupiga leo, hivyo usibweteke na hadithi za historia kwamba fulani aliwahi kupigika hivyo unaweza kumpiga hata leo, no! Kama hujajipanga usiingie vitani. Hii itakujengea heshima na ustawi kiuchumi,kisasa na kijamii. Kwa mfano hii vita ya wapalestina na wayajudi kama itasimamishwa leo, nidhahiri wapalestina waataibuka washindi katika mizani ya kijeshi Kwa kupima hasara za pande zote mbili ukiondoa majengo .

10. Wanamgambo wa kipalestina ni wapiganaji hatari sana katika medani za vita dhidi yaadui yao.

11. Israeli ameonyesha na anazidi kuonyesha udhaifu mkubwa sana kijeshi wa mbinu za mapigano ya kukabiliana na adui ardhini na hii imepelekea Dunia kuwa na mshangao mkubwa Kwa namna ambavyo vyombovya habari viliiaminisha Dunia hapo kabla.

Tuwaombee wanaopigana wapate moyo wa kusimamisha mpigano Ili kunusuru raia wanaoteseka na madhara ya vita hivi
SAWA IDF HAWAWEZI GROUND WAR...TOKA 1967 ULIPIGANA NA UKAWASHINDA NA UKAWAMALIZA WOTE 🤣🤣
 
KILA MUNGU ANA JINA LAKE KUTOKANA NA DINI YAKE.
HAPANA BIBLIA ZA KIARABU HAZITUMII ALLAH NA NDIO MAANA INDONESIA WALIZICHOMA MOTO.....FUATILIA HICHO KISA..
BIBLIA ZOTE ZINATUMIA JINA LA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA....
SABABU WAKRSTO WANAMUABUDU YEHOVA.....
SIFA ZA YEHOVA MUNGU WA KIYAHUDI NI TOFAUTI KABISA NA HUYO MUNGU WA KIARABU ALLAH...
USITUDANGANYE MKUU...
Screenshot_2024-01-05-22-46-13-10_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Nambie wewe Wakristo Waarabu pale Misri Mungu wanamuitaje?
 
Mungu wa waislamu na waarabu....Mungu wa kiarabu aitwae Allah hawezi kuwafanya chochote hao wakrsto.....Sababu wana Mungu wao wa kiyahudi YEHOVA
Kwa hiyo kwenye comment ya huyo jamaa kuna neno Allah hapo?

Alafu huwa unanichekeshaga jinsi unavyo razimishaga na kujikomba komba kwa wayahudi.
Mungu wenu na yule wa Wayahudi ni tofauti kabisa
(1) Nyinyi Mungu wenu ni Yesu, kwa wayahudi yesu ni muhuni na mtoto haramu.
(2)Mungu wa Wayahudi amewakataza kula nguruwe nyinyi mungu wenu anaruhusu kushushia mpaka kabia kwa mbali.

(3)Mungu wa Wayahudi ana abudiwa kwenye sinagogi nyinyi mungu wenu anaabudiwa kwenye kanisa.

(4) Mungu wa Wayahudi haamini uwepo wa siku ya mwisho wakati nyinyi mungu wenu ame waahidi kuwaimbisha mapambio mbinguni milele.

(5) Mungu wenu amewaambia mfunge kwarezima,msherekee Pasaka , kirsimas wakati mungu wa Wayahudi hatambui mambo kama hayo.

(6)Mungu wenu anatoa mapepo mungu wa Wayahudi hata hayo mapepo hayatambui kama yapo.
 
Back
Top Bottom