Nilichojifunza toka WC - Brazil

Nilichojifunza toka WC - Brazil

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
BqrCJj7CAAAdhij.png
 
Kuna siku nipo kwenye daladala nakataka sehemu ya kuweka chupa tupu ya maji kumuuliza konda akanijibu "acha ubrazamen inamaana huwezi kutupa nje?" Cha ajabu hadi abiria wakamuunga mkono, tunahitaji sehemu za kutupa taka otherwise uchafu hautaisha mjini!
taratibu zinasema iache ndani..konda atajua wapi pa kuiweka...
 
Kuna siku nipo kwenye daladala nakataka sehemu ya kuweka chupa tupu ya maji kumuuliza konda akanijibu "acha ubrazamen inamaana huwezi kutupa nje?" Cha ajabu hadi abiria wakamuunga mkono, tunahitaji sehemu za kutupa taka otherwise uchafu hautaisha mjini!



Mabadiliko ya kweli yanaanzia kichwani. Mtu asipotambua kwamba usafi ni ustaarabu, hata kama utaweka mapipa kila mahali; bado atachafua tu.

mtu ni afya. tuanze kuwafundisha watoto wetu nyumbani.
 
Kuna siku nipo kwenye daladala nakataka sehemu ya kuweka chupa tupu ya maji kumuuliza konda akanijibu "acha ubrazamen inamaana huwezi kutupa nje?" Cha ajabu hadi abiria wakamuunga mkono, tunahitaji sehemu za kutupa taka otherwise uchafu hautaisha mjini!
ndio wako hivyo mkuu,

bora ukose vyote lakini upate ustarabu inasaidia sana
 
Back
Top Bottom