Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
- Thread starter
- #81
Shida Leo Ulikuwa siku ya Mavuno so Watu Wengi JombaaaUngemuandikia namba kwenye kikaratasi afu unajidai unamsalimia kwa kumpa mkono then unamkabidhi,
simple like that..
Sasa ivi ungekuwa unasubiri mrembo akupigie tu