Nilichojifunza kuhusu punyeto

asali inasaidia sana kuacha pamoja mboga za majani na karanga
 
nmeshajaribu kuacha mpaka sasa nmekata tamaa...

najiona tu mtu wa kushindwa. ts very sad.. lakn ntafanyaje
 
Nimekukubali mkuu
 
Punyeto iligundulika miaka gani?
Nini hasa chimbuko la punyeto.
Jee punyeto inakubalika katika
Maisha ya sasa?
Kuna sehemu au mahali pakulipia ilikupiga punyeto.
Punyetoooooo
 
Hivi kuzini na mwanamke na kupiga punyeto kipi bora,
 
Kuacha punyeto inawezakana ukiamua. Sidhani Kama kuna mtu amepiga na kuathiriwa na punyeto Kama Mimi. Ilifikia hatua nilikuwa nikipishana na mtu ananukia mafuta ninayotumiaga uume unasimama. Nilikuwa napiga mpaka goli mbili kabla cjalala na kamoja kakuamkia. Sasa nimeacha nna miaka miwili. Hata uwezo wangu wa kutunza kumbukumbu umekua mzuri tofauri na mwanzo. Acha kuangalia video za ngono, Fanya mazoez, ichukue punyeto toka moyoni, weka dhamira ya kuacha
 
Hiyo kitu si nzuri kabisa, nakumbuka nilikuwa nikiipiga kwa kutumia lotion ya nywele ya kike, ilawa nikiwa kwenye basi au train, kama kuna mwanamke kapaka ile lotion nikiisikia harufu basi mzee athumani anasimama anadai chakula yake.
 
Kuna hii hamkuizungumzia;- Mimi huwa napiga Push ups huku nikivuta hisia nipo namgegeda housegirl hii nadhani haina madhara maana huwa inaimarisha misuri nakuwa fit kama nanyanyua vyuma,yaani kifua kinajaa kimtindo
 
hiyo kitu ni nzuri sana.....bonge la protection...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…