Tangazo la ?TANGAZO
Nae ni mwalimu ?Hongera mkuu
Nakala ifike kwa mpwayungu village
Mbona kasema huko kote ni bure mkuu? Atakuwa anatangaza apate nini sasaTANGAZO
Asante sana. Ajira zinapatikana, tusikate tamaaKila la kheri mkuu
Asante boss. Mi mwenyewe sijamuelewa huyo mdau, maana mi nilichofanya ni kushare experience yangu ya kutafuta ajira.Mbona kasema huko kote ni bure mkuu? Atakuwa anatangaza apate nini sasa
Sometimes tuwe positive mkuu
@ajirazoneTangazo la ?
Mtu anaweza kujiunga na group lolote lile, magroup yapo mengi sana. Kuna ajirachap, ajira na biashara, uwanja wa ajira. Ila mimi nimejiunga kwenye ajirazone maana wao hawakusema kwamba kuna kutoa hela kujiunga kwenye group lao.@ajirazone
Hivi jamani mnambie, kumbe kuna magroup mtu anatakiwa atue hela ajiunge ?Mtu anaweza kujiunga na group lolote lile, magroup yapo mengi sana. Kuna ajirachap, ajira na biashara, uwanja wa ajira. Ila mimi nimejiunga kwenye ajirazone maana wao hawakusema kwamba kuna kutoa hela kujiunga kwenye group lao.
Historia na kiswahili kaka. Na wewe ni mwalimu ?Mwalimu wa masomi gani?
Yap, hongera mkuu pambana, ni Mungu amekusaidia ukapata kazi.Historia na kiswahili kaka. Na wewe ni mwalimu ?
Nakuja PM, tuongee mawilo matatuYap, hongera mkuu pambana, ni Mungu amekusaidia ukapata kazi.
Huwa wana fanya kwa sababu mbili.Ni kweli mkuu ulicho kisema, kuna chuo fulani hivi huwa kinatangaza ajira kila mwaka, kuna siku nilituma maombi baada ya siku kadha nikapigiwa simu kwenda kwenye interview, bahati zuri tulivyo toka tukapeana namba za simu, ili kupeana taarifa mbali mbali za kazi, Lakin ile interview hakuna aliye pita,
Mpaka leo hii miaka miwili sasa inatimia hiyo nafasi bado ipo, na juzi juzi nimeona wametangaza tena hiyo nafasi ili watu watume maombi..
Sasa hapa huwa najiuliza, huwa wanatangaza ajira ili kupromote biashara zao ama wana maana gani,