Mkuu unalazimisha vitu kwa sababu tu uanaangalia kupitia angle moja,simply to discover is to find out ( a)something existing but not known before-kitu kilichokuwepo lakini hakikuwa kikifahamika,(b) a fact ,mfano scientists have discovered that this disease is carried by rats-ugonjwa huu unasababishwa/unaenezwa na panya, (c)the answer to a question- mfano did you ever discover who sent you the flowers?-umegundua nani aliekutumia maua? kwa hiyo discover ni neno mtambuka linaweza kuwa scientific discover or just a mere discover.INVENTION NI UVUMBUZI-to make up,think or produce something for the first time.Hapo unakuwa umefaham au kujua kabila lake, nadhani kiswahili labda kina maneno machache kwasababu kwa wezetu waingereza hii unayo zungumzia ni discovery na kugundua ni invention ambayo inahusisha scientific procedures
Kwa kupenda kutafuniwa!!!emoj208Hongera kwa kugundua vitu vipya...haya sasa tuelekeze tujue jnsi tutakavyo vitumia katika nyanja mbalimbali za maisha...
Baada ya kuangalia na kusikiliza vipindi mbali mbali vya television kufikia jana jumanne nimegundua mambo yafuatayo.
1. Dr.Tulia Ackson ni kiongozi ambae yupo vizuri sana kichwani na mwenye kujitambua, uwezo wake wa kujibu maswali chokozi kwa utulivu na busara ni bora pengine kuzidi viongozi wakina mama wengi sana nchini(ukiondoa wale ambao siwajui).Kwa uwezo huo ataendelea "kukimbiwa" sana bungeni.
2.Lemutuz nation,anaonewa tu mitandaoni,jamaa anajua anachokifanya.Baada ya kumsikiliza na kumtizama katika Take one pale clouds Tv,nimegundua kuwa lemutuz anaishi kwa kufuata falsafa aliyoitengeneza mwenyewe kitu ambacho wengi hawana,sasa ni muda wa kumuacha lemutuz aendelee na falsafa yake bila kubughudhiwa.
3.CUF na Lipumba bado hawajajua wanachotaka,hawa wanamlilia Lipumba wale hawamtaki Lipumba,Lipumba amejiuzulu uenyekiti na bado anataka uenyekiti.Tunahitaji sana kupewa elimu ya nini maana ya kujiuzulu,kwa kifupi kujiuzulu ni KUJIUZULU.
4.Mbio za ubingwa wa ligi ya Uingereza zitakuwa ni za farasi wawili,Man city na Man utd, ni vita ya Mourinho au Guardiola.

Interviews za kawaida(zisizo za kujisafisha) ni zipi mkuu ?Kiukweli HUWAFAHAMU...umeathirika na PR effort zao za kutokea kwenye interviews kujisafisha...vyote ulivyoona ni 100% maigizo ya kujisafisha...
Kwa umri huo bado unaamini kabisa interviews za kujisafisha?Mungu wanguuu