Nilichogundua kwa sasa

Nilichogundua kwa sasa

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
19,175
Reaction score
34,344
Za masiku?

Yaan nilichogundua kwa miaka ya leo,ukitaka kuoa au kuolewa ni bora UJITOE MUHANGA TU.No kuchagua chagua chagua au kuchunguza chunguza.Moyo umependa we oa,moyo umependa we olewa.NI KHERI MCHAWI UNAEMJUA.
Nasema ivi kwa sababu ndoa nyingi zinazovunjika nowdayz ni za wale waliochunguzana miaka mitano...uchumba miaka mitano..mpaka wanaoana washaishi miaka 15 then kwenye ndoa wanaishi miez mitatu...sababu eti tumeshindwana tabia.Ha ha haa.

NO ONE IS PERFECT JAMEN.Mtachagua na mapakashume bure..
 
Kuwa siriazi bhana.

Wewe unamchunguza mtu ambaye anajua kama anachunguzwa unategemea atafanya mistake..?

Kuchunguza mtu asijuee yani.unaibuka tu paap wakati huo ulishachunguza.sio nyinyi siku hizi unachunguza na unamla humo humo hivi uchunguzi huo uchunguzi gani aisee....?
 
Enhee,kumbe jambo la msingi ni kuchunguzana bila kulana..ili usiporidhia umwache salama
 
Back
Top Bottom