Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Sahihi mkuu, maana kama hizi mada za kina Mwashambwa kwamba Raisi huyu ndio kakufikisha Watanzania,asiwe na ukomo,yanatoka kweli moyoni?!!Watanganyika hawajitambui
Mkuu tunatofautiana uelewa kuna watu wanawaamini!Sasa watu wenye magonjwa ya akili kama LUCAS na tilaaah n watu wa kuwaweka kwenye fikra zako kweli?
Halafu wanawachukia wanaohubiri mabadiliko. Wanawachukia wanaona nchi haiwezi kuwa yenye utawala unaovunja sheriaNimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi Sehemu mbalimbali.
Hawa watu ni wapole,wasio na makuu,wasio na majivuno!
Shida unakuja ni Hawa ndugu zetu wa huku bara!Sio wa kweli kwenye Moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo.
Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo,lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Kweli kabisa. Juzi tulikuwa tumekaa mtaani . Ni siku ya sikukuu. Akatokea mzee mmoja kwake alikuwa ameandaq chakula. Akaja kuita watu wakajumuike. Badala ya kuwambia karibuni chakula yye akasema " jamani karibuni pilau" mtu yule kwa uelewa wake aliamini kwamba pilau ni chakula special saaana kwake na kwa wengine wote waliokuwepo pale.Mkuu tunatofautiana uelewa kuna watu wanawaamini!
Yeye mwenyewe hana uwezo wa kutambua ushauri wa kijinga?Nimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo,lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Namuona Lucas Mwashambwa akibubujikwa na #NoReformsNoElectionNimewahi kuishi Zanzibar nikiwa mdogo huko na pia kufanya nao kazi sehemu mbalimbali. Hawa watu ni wapole, wasio na makuu, wasio na majivuno!
Shida unakuja ni hawa ndugu zetu wa huku bara! Sio wa kweli kwenye moja wao wanasema ni mbili! kwenye uongo, wanasema ni ukweli, kwenye ukweli wanasema ni uongo!.
Huyu nae ni Binadamu kama tulivyo sisi wengine, mapungufu nae anayo. Chukulia mtu kama Lukas Mwashambwa kwenye mada yake Moja, Anadai Raisi asiwe na ukomo! Maana yake katiba Raisi aivunje, unategemea Nini kwa ushauri wa watu kama Hawa na mwenzake tlaahtlaah?!
Ukweli au jambo la uongo,lisemwe kwa staha bila kificho Wala fitina.
Ahsanteni sana.
Tabia mbaya sana,sema chakula tuu!Kweli kabisa. Juzi tulikuwa tumekaa mtaani . Ni siku ya sikukuu. Akatokea mzee mmoja kwake alikuwa ameandaq chakula. Akaja kuita watu wakajumuike. Badala ya kuwambia karibuni chakula yye akasema " jamani karibuni pilau" mtu yule kwa uelewa wake aliamini kwamba pilau ni chakula special saaana kwake na kwa wengine wote waliokuwepo pale.
Uelewa ni mdogo
Wakati mwingine unazidiwa mkuu na wapambe!Yeye mwenyewe hana uwezo wa kutambua ushauri wa kijinga?
Ikulu ni mzigo- JK NYEREREWakati mwingine unazidiwa mkuu na wapambe!
Ni mzigo kweli,ukutane na wapambe wenye masrahi Binafsi watakushauri, ujinga Sana,kuja kushtuka umechelewa,hasa wakutane wenye Nia mbaya hizo! Na Wewe ndio hukosolewi nao ni hatari kujua.Ikulu ni mzigo- JK NYERERE
Embu fikiria mtu mzima anawakaribisha watu wazima chakula. Badala ya kuwambia karibuni chakula anapaza sauti " JAMANI KARIBUNI PILAU" Pilau ni nini sasa??Tabia mbaya sana,sema chakula tuu!