steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Katika kujifikilia nimegundua kuna vitu vya ujanja ujanja na kujishtukia
kma hawa jamaa hawajasajiliwa miaka yote vyombo husika vilikuwa wapi..? pia walikuwa wanalipa kodi kidogo walikuwa wanalipa kma nani..? walikuwa wanasafilisha mchanga kma akina nani
.? pia hiyo.kodi kiduchu alilipwa nani..?
nlicho gundua hapa nikama kisa cha manji kuwa diwani alafu syo.mtanzania na hana vibari wakati ana makampun nchini
issue nliyo iona hapa selikali imeona hainufaiki na ACACIA na wamejua wakivunja mkataba watapata hasara njia waliyo tumia ni kusema hawa jmaa ni kampuni hewa ili wajisajili upya ili mkataba uanze upya.. hakuna jipya apa
Banda ya kugundua unashauri nini kifanyike.!!
Kma
Jmaa
Makampun
Nlcho
Huu uandishi mkuu.
staki kuamin ila kikubwa hapa serikali inataka kuanza upya wameshtukia kuwa walifanya borgus treatyUnavyouliza 'vyombo vyote (pamoja na benki kuu) vilikuwa wapi ndilo swali hilo hilo aliuliza Mhe Rais tena kwa uchungu sana. Akasema BOT kuna watu 17 wenye PhD lakini imekuwaje hakuna hata mmoja aliyeona ufisadi wote huo? Ukweli ni kwamba ACACIA haikuwa imesajiliwa. Mwezi jana waliandika barua BRELA kutaka eti kampuni yao ya African Barrick Gold ambayo imesajiliwa kwa jina hilo ibadilishe jina lake iitwe ACACIA. Kama walikuwa wamesajiliwa wasingeweza kuandika barua kama hiyo
Uandiahi wa watoto wa cheti zoom college.
Arudie la 5 tuKma
Jmaa
Makampun
Nlcho
Huu uandishi mkuu.
La tano!??Arudie la 5 tu
umemfatilia huyo.jmaa na yeye uandishi wake[emoji12] [emoji12] [emoji12] angalia vizuliMkuu pokea like.
Maana, huo uandishi ni kiwango cha pre unit Nimewahi kusoma pale Kenya shule inaitwa Chachas maeneo ya Yabhohanse karibu na njia ya kwenda Taranganya High school.
Hapo tunatoka Dar hadi Kenya shule.
Ila sasa watoto wanvyoandika ndiyo Kama huyo.
ndivyo mlivyo baada ya kujadili jambo la maana unajadili uandishi amakweli mmerogwaLa tano!??
Mbona wampendelea Sana huyo!?
Uandishi huo, aanze tu chekechea aaaaaghhh
Ni Tanzania pekee! Maprofessor wanashindwa kuelewa maana ya kusajiri na kubadilisha jina la kampuni!Katika kujifikilia nimegundua kuna vitu vya ujanja ujanja na kujishtukia
kma hawa jamaa hawajasajiliwa miaka yote vyombo husika vilikuwa wapi..? pia walikuwa wanalipa kodi kidogo walikuwa wanalipa kma nani..? walikuwa wanasafilisha mchanga kma akina nani
.? pia hiyo.kodi kiduchu alilipwa nani..?
nlicho gundua hapa nikama kisa cha manji kuwa diwani alafu syo.mtanzania na hana vibari wakati ana makampun nchini
issue nliyo iona hapa selikali imeona hainufaiki na ACACIA na wamejua wakivunja mkataba watapata hasara njia waliyo tumia ni kusema hawa jmaa ni kampuni hewa ili wajisajili upya ili mkataba uanze upya.. hakuna jipya apa
nimetumia kifupi ujumbe usiwe mrefu sema siwashangaiKma
Jmaa
Makampun
Nlcho
Huu uandishi mkuu.
na kilichopo apa ni kubadil jina la kampuni ila wanataka kuwachanganya watanzania tuu ili waone hawa jamaa wamealibu saaanaNi Tanzania pekee! Maprofessor wanashindwa kuelewa maana ya kusajiri na kubadilisha jina la kampuni!