Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,202
- 2,001
Pole kwa wapenzi wenzangu wa soka na timu ya taifa..
Binafsi Naamini kingeundwa kikosi cha pili kikihusisha waliosugulishwa benchi mfano Yondani,Faisal,Zayid na ambao kwa sababu tusizozijua hawakuitwa kujiunga na timu ya taifa Plus Msuva,Samatta,Ulimwengu,Banda,Boko na Kesi tusingefungwa,narudia tena tusingefungwa 3_Bashite