Ni wakina Angel nyigu,b2k,fred vunja bei etc
Ni wakina Angel nyigu,b2k,fred vunja bei etc
wake zenu mkiwazingua wanakata nyeti zenu!!........Hatutaki ujinga,hatulei kima
Mkuu ukiacha kilimo kuna fursa gani nyingine hukoNature ya mazingura huku mkuu.
Ila wafugaji wapo wa kawaida.
Parachichi huku ndio sehemu yake karibu sana.
Nyingi sana mkuu..Mkuu ukiacha kilimo kuna fursa gani nyingine huko