sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Duuuuu[emoji12]Maoni yetu subiri tu usiwe na haraka kunywa maji mengi pata muda mrefu wa kupumzika mazoezi madogo madogo bila ya kusahau mboga za majani na matunda kwa wingi na pia uwe karibu na Muumba wako lolote laweza tokea
ChachastevenUnapata broo ondoa shaka
Kwani yeye amepataje?nao
Chachasteven
naona unajifariji kupitia kwa mwezio,mwenzio ana DBB =ECC ,ambae nina uhakika atapata kwa sababu hajakurupuka kuomba vyuo,ila wewe subiri 2nd round na medicine yako hiyo
HABAR Wa JF niliaply
1 pharmacy st john
2 nursing st john
3 health lab kcmc
4 veterinary medicine sua
5 MD ajuco
Kwa hali ilivyo nitatoboa round ya kwanza???? Nina DBB+ Mwaka jana
Utaketaje???Hiyo BVM ungeitoa kabisa
Sababu nitaleta siku nyingine