Hiyo story ya uongo nashangaa mnaotupia comment na kumpa pole. Hiv unaweza kufanya biashara ya mamilion na mtu usiomjua hata background yake? Ukienda kukopa tu duka la kitaa kiberit unatoa maelezo ya kutosha ndo transaction I take place sasa mamilion ya ela. Ina maana alizunguka na jamaa ashindwe kumuomyesha home kwel na mgen. Huu uongo unaodanganya leo utakuja kuchomwa nao moto amin nakwambia kijana.