Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Hujakutana na VX V8 mkuu? Hawa jamaa wanatembea aise. Unaichapa mashine 190kph halafu bado wanakuchapa kama umesimama sina ham nao. Unakaza pedal mpaka tako lakini ndio kwanza inazidi kupotea

Hiyo level nyingine mzazi..! Hawq wajumbe ni hatari sana barabarani...! Mie sitakagi ligi sehemu za watu wengi njiani siwezagi ila soon nitatest mitambo japo yangu fupi sana bumps nitaziheshimu
 
Heshima kwenu wakuu.

Wiki iliyopita niliamua kuifanyia nissan dualis majaribio ya mbio barabarani.( nilikua natafuta ligi kwa udi na uvumba)

Nilitenga hela ya faini 150,000.00 kwa safari ya kutoka Dsm to Singida. Ilipigwa 100,000 nikabaki na 50,000.

Nilianza ligi na Vanguard, crown, subaru. Crown alikua ni mjeshi yeye anapita tuu

Ila hadi tunaingia morogoro crown na subaru tumeziacha nyuma sana.

Kufika Moro, vanguard na mimi na Nissan patrol (DFP)

Vanguard mziki ulimshinda akaa nyumaa nahisi aliogopa trafiki,

Nilifika mbande ilibidi nikachungulie dereva wa nisan patrol ni nani, yule mzee anaendesha gari kama pikipiki anaovertake sehemu hatari balaa

Alikua anakimbia aseee, huyu ndio alinipa challenge kwakua alikua haniachi 500m.

Nissan Dualis ni mnyama sana, hata nikisema nipate gari, narudi kwa dualisi tena.

Hongereni sana trafiki mnafanya kazi ipasavyo.
RIP in advance
 
Mafundi wabongo ndiyo wakijinga...kawaulize Wajapani......wakishindwa kutengeneza kitu hawataki kukubali kuwa wameshindwa...wanaaza kusingizia kuwa hakifai.....

Ingekuwa ni gari ya kijinga ungeshasikia recall huko kiwandani na leo hii kusingekuwepo na Xtrail Generation ya tatu..
Lazima utakua unamiliki xtrail..sasa sijui ndugu utakua unaenda tengeneza Japan....nadhan katika SUV cheap hii inaongoza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom