Nilesat 201'w,yawezekana?

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Wataalam jamani nna maswali mawili matata,naweza kupata nilesat 201'W kwa dish la ft 6 na strong srt 4653x hapa dar?kuna uhusiano gani kati ya lnb skew au tilt na dish size?kama ntakuwa nimekosea chochote kimaandishi mniswamehe
 
Kuna uzi humu unaitwa African satelite gear , wataalamu wengi sana wa satelite dish wamechangia soma mwanzo hadi mwisho.
Mimi niko dar na satelite hiyo nimefanikiwa kuipata japo hapo mwanzo ilinisumbua kidogo sababu sikuwa na right tools. Footprints za nilesat zinaishia juu ya somalia hivyo sisi huku tunafanya 'fringe reception'.
Badilisha dish tumia la 135cm ku dish litaperform vizuri kuliko hilo lako la 6ft kama hutaki shida kabisa nunua 8ft c band dish, halafu nunua lnb lnb ya 0.2 db utafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…