Nikwanini baada yatendo wengi hatuwi romantic tena?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Najiulizaga kwanini Tukiwa tunajiandaa kuingia mzigoni huoneshana Mahaba mazito mazito tunaogeshana tunabebana kuvuana Nguo.

Lakini tunapomaliza tendo Kila mmoja ushika 50 zake Hakuna ile romantic tena kilammoja upambania Boxa bikini Yake ikowapi nakukimbilia kuvaa Kisha kuulamba usingizi.

Hii inakuwa hivi kwanini? Kisa kilamtu kashatimiza hajazake au Kuoneana Aibu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha sexual hormones zilikuwa aroused kwasababu yakutengeneza mazingira ili yale maji yatoke, yameshatoka na mwenzako nae ameridhika unataka nini tena?
Ulishaona mtu amekimbia zaidi ya 7km alafu asipumzike?
 
ukishakuwa f***d no one need you
 
ni kama chakula vile kabla ya kula sahani hotpots nk huwa zinawekwa chakula ila ukishashiba unasema nenda katupe uchafu wakati ni kile kile ulichokuwa unakula
 
Haha"la Condom Naona Kama Kwelii lina makes sense

Pia ku Date Nawatu tusio nahisia nao nalo nitatizo inakuwa umefanya ilitu umalize haja zako
Matatizo ya kudate na watu tusiopendana nao.
Pili uvaaji wa Condom Huondoa kabisa hiyo hali ya kuwa romantic kwani kidume unawahi kuvua Ndom kabla mashine haijalala kama maelekezo yanavyosema.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tabia za wanaume hizo..tukisha shusha mzigo tunapita hivi...tafuta teitei lako utokee mlango wa uwani...hamna kusindikizana unajua njia...so utarudia njia uliyojia...

Ovaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Haha" mkuu kuna demu alinisema sana
Yaani wewe mkaka haupo romantic kbs Unaanza kwakuni handle ukimaliza Unakuwa kama jogoo

Sikuhizi show ananibania dadeki
tabia za wanaume hizo..tukisha shusha mzigo tunapita hivi...tafuta teitei lako utokee mlango wa uwani...hamna kusindikizana unajua njia...so utarudia njia uliyojia...

Ovaaaaaaaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…