Nikurudishe form one!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Bakuli lenye jiwe ndani yake linaelea katika maji yaliyomo kwenye dishi kubwa.Kutokana na kuelea kwa bakuli hilo,kina cha maji yaliyomo kwenye dishi kilipanda.Baada ya hapo jiwe likatolewa na kuzamishwa kwenye maji ndani ya dishi na bakuli tupu likaendelea kuelea.Nini kitatokea kwa kina cha maji yaliyomo katika dishi,je kina kitapanda au kushuka au kitabaki vile vile kama wakati jiwe liko ndani ya bakuli?
 
haaa haaa hiii huuu haaiii haa huuuuu tehteh ,,,kweli hii kali...!!!...,bomboclat weka vichekesho..
 
Sawa basi, nimeshakumbuka Archimedes Principle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…