Sio ujumbe mzuri,ni mbaya kwa wazinziUzi huu ukifikisha comments 50 tu nakupa 10,000/= Kesh maana wabongo huwa hatupendi jumbe nzuri kama hizi
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.
wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS
unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.
Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.
Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV
Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...
NB pima, kisha tumia condom.
Umeanza kuongelea ukimwi na ukamalizia na HIV. Two different things yet linked.ukimwi ni upungu wa kinga,upungufu wa kinga sio ugonjwa so hauambukizi hata siku moja ,magonjwa kama TB,ebola,gonorrhea,kaswende nk ndio yanaambukiza ila strength ya kinga (immunity) haiambukizwi.tumedanganywa sana kuhusu hii dhana ya kufikirika ya H.I.V
umeninukuhu vibaya ,nimeongelea ukimwi nakamaliza ,ndio nakaja na HIV.nimefanya hivyo kwakuwa watu wengi wanachanga dhana ya HIV na ukimwi na wengi wanadhani HIV ndio inasababisha ukimwi ndio maana nikafanya hivyo so sijamix hivyo vitu na nimeandika hivyo purposelyUmeanza kuongelea ukimwi na ukamalizia na HIV. Two different things yet linked.
Anayeweza kuongelea athari za HIV ni mwathirika mwenyewe. Wewe tulia kula maisha.
We ni muongo acha kuwahadaa wenzio ..mtu hata akitumia ARV miaka minne akipima bado itaonekana positive na sikama usemavyo!Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.