Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
wakuu kuna aplication iliwekwa humu jamvini ya namna ya kufatilia simu b kama mimi sim a nataka kujua movement za simu b asanteni!

hahhahh duhSikushauri unless unataka kufa na pressure
jaribu kusearch uzi bado upo hum hum jf,,,jamaa aliwek application 2 but mi nakushauri u2mie ile ya piliwakuu kuna aplication iliwekwa humu jamvini ya namna ya kufatilia simu b kama mimi sim a nataka kujua movement za simu b asanteni!