Wakuu heshima mbele,
naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki
wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini
hawa jamaa walivuma sana. Naomba tukumbushane wakuu jina la bendi hii..
Ban kwanini mkuu, kwani kuomba msaada ni kosa hapa JF?
kwano JF ipo kwa ajili ya mambo ya siasa na mapenzi tu?
acha hizo, kama nimekosea toa marekebisho na sio ku crush..
Wakuu heshima mbele,
naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki
wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini
hawa jamaa walivuma sana. Naomba tukumbushane wakuu jina la bendi hii..
Vibao vyao hivi hapa kama upo interested (N.B: sorry nimeshindwa kuhamisha thread kupeleka kwenye burudani, so Mod can help me)
Princess Julia
Vigilance