story za wavulana ambao hamjakuwa matured!Samahani , poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha,naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua mm tu, naniweza kumwandia message " aniache nitulize kichwa changu" maana nilihisi mapenzi ni utumwa kwangu.Imepita four months ameamua kunipigia simu, vipi wakuu nikubali au mnasemaje? ..naombeni ushauri (bubbles are allowed).
Cku ingine kichwa kikichemka , weka kwenye fridge kipoe sawaSamahani , poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha,naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua mm tu, naniweza kumwandia message " aniache nitulize kichwa changu" maana nilihisi mapenzi ni utumwa kwangu.Imepita four months ameamua kunipigia simu, vipi wakuu nikubali au mnasemaje? ..naombeni ushauri (bubbles are allowed).
poa poaAsante Mkuu kwa ushauri..
Mmmhachana nae
Sasa kupewa hi tu unataka ushauri wa nini..??? Au ukipewa "hi" tu ndio amekutaka..?? Mbn una mawazo ya kitoto..?? Be a man bro.Simu yake nimeipokea na akanipa hi tu..maana ninadra kupigiwa simu na mtu ambaye mmeachana naye mda mrefu.
Hakuchukiii, ila anakuona "just a friend". Sio kila anayekupigia simu anakuwa na hisia na wewe..!! Acha utoto..!! Ina maana wewe wanaokupigia simu wote wana hisia na wewe..??Huwezi jua" reason behind" .huwezi kumpigia simu mtu kama hauna hisia naye ...grow your mind mkuu...
sawa tufanye anakutaka kakojoe ulale, muda wa baba zako huu wa kupanga familiaHuwezi jua" reason behind" .huwezi kumpigia simu mtu kama hauna hisia naye ...grow your mind mkuu...
Sasa kama hatuwezi kujua "reason behind" unataka kushauriwa nini??? Elezea kwanza hyo reason, the we can advice kama tutaona inafaa.Huwezi jua" reason behind" .huwezi kumpigia simu mtu kama hauna hisia naye ...grow your mind mkuu...