Niko singo natafuta mchumba

Niko singo natafuta mchumba

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Nahitaji mwanamke mzuri na mwenye kazi yake anapata kipato chake, mimi nina umri wa miaka 28 sina mwanamke kama yuko ambae yuko tayari kuwa na mimi anicheki ibox.
 
Nenda magomeni kwa macheni au kambi ya fisi kama uko Dar na kama uko Arusha nenda Mlina au matejoo kuna wachumba safi tu.

swissme
 
We unakaz? Na kpato chako je kpoje?
 
Singo ni mbuzi peke yake maana halei hata mimba.
Tukikupekua tunaweza kuta umekimbia majukumu mahali.
 
Nashangaa wanaume wanaotafuta wanawake wenye kazi.
Afu pia we mkubwa nenda kanisani, rudi kijijini kwenu ukatafute.
Utagongewa kama huna kazi
 
Qualification number one is job, the rest is up to him. Awe na sura mbaya and whatever yeye anataka kazi. Mnabahati wenye kazi ambao majaaliwa ya allah yamepita pembeni fursa hiyooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom