Niko safarini nitahesabiwa wapi sensa?

Niko safarini nitahesabiwa wapi sensa?

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,196
Makarani wa sensa watapita kila kiya na kuchukua takwimu za watu watakaokuwa wamelala hapo siku hiyo...swali langu je watu watakaokuwa mbali na nyumbani kwao hawatahesabiwa? mfano watakaokuwa safarini na wamelala kwenye nyumba za kulala wageni itakuwaje?
 
Watahesabiwa pia kwa dodoso maalum wala usihofu haachwi mtu
 
Inasemekana wasafiri watahesabiwa guest, stendi za mabasi, viwanja vya ndege n.k.
 
hii hata gari likikwama utahesabiwa hapo hapo kwani hii nchi hakuna kisichowezekana
 
Utahesabiwa utakapolala,na km utakuwa safarini,guest au hotelini utahesabiwa hukohuko!
 
Back
Top Bottom