K kitongoji Member Joined Apr 27, 2012 Posts 5 Reaction score 2 Jun 24, 2013 #1 naombeni kuuliza nini tofauti ya i phone, i pad, tablet, adroid na gadget? mambo haya yananichanganya sana, naomba mwenye uwezo wa kunifafanulia kwa kiswahili ili nielewe vizuri
naombeni kuuliza nini tofauti ya i phone, i pad, tablet, adroid na gadget? mambo haya yananichanganya sana, naomba mwenye uwezo wa kunifafanulia kwa kiswahili ili nielewe vizuri