Niko njia panda

kwakua unasema huwezi kumuacha huyo mume wa mtu basi dhahiri kwamba tayari maamuzi unayo huna haja yakuja kuomba ushauri huku,
 
maamuz unayo ww mwenyewe tambua huyo uliye naye n mume wa mtu hvyo na ww unatakiwa kuwa na mume wako. Ila maisha n vle upendavyo kama umeona kuwachukulia wenzio waume zao n sahh ww endelea ila ujue ipo cku itakugharm.
 
Waebrania 13:4 inasema 'Ndoa na iheshimiwe na watu wote'!!Nakuonya dada ACHANA NA MUME WA MWANAMKE MWENZIO!
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

Dada una uwezo wa huo kwa sababu wewe ni binadamu na sio mnyama! Mbwa hana uwezo huo ila wewe unao! Ebu muogope Mungu wako we mdada jamani lol!
 
kwenye nyekundu nimecheka! mi natamani wanawake wanaoingilia ndoa za wenzao wawe wanachapwa viboko. Wasingekuwa wao wanaume wasingetoka nje!
 

Katlego pamoja na kuwa hujapenda ushauri kisana, mimi naomba kabla hujafanya hayo maamuzi, uende ujitambulishe kwa mke wa huyo kaka kuwa unatembea na mumewe, akiridhia, utakuwa huhitaji ndoa.
Pili, najua kwa sasa umezama ndani ya penzi huwezi kunielewa.Kuna siku moja tu utapigwa chini, wanaume wasio vichaa, siku zote tu, baadaye hurudi kwa wake zao, na kutulia. So aliyeko kwenye ndoa yuko salama kuliko wewe.
 
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough

dada katlego inavoonekana hutak kuifanya akili yako ielewe kwamba huyo ni mume wa mtu, kutokana na majib yako mengi ww unaona uko sahihi na hakuna ubaya unaofanya na huyo mwanaume ni halali kuwa wako na atakuwa wako milele. kwnn usifungue akili yako? sometimes ukiufata moyo unapotea. hv umejarib hata kumshirikisha mama yako kidogo tu? kama bado hebu kaa naye uongee naye!!! kwasababu wana jamvi wanajarib kukuelewesha na ww unajifanya mpana kama gagulo la wahindi..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…