One and Only
Senior Member
- Mar 7, 2011
- 161
- 62
Kama hataki kupima achana nae "Ukimchekea nyani utavuna mabua"Habari zenu great thinker, nina tatizo ambalo naamini naweza kupata msaada kutoka kwenu.
Nina mpenzi ambaye tulifahamiana wakati wa shule yeye akiwa mwaka mmoja mbele yangu A-level lakini hatukuwa na ukaribu wala mahusiano, tukapotezana mpaka baada ya kumaliza chuo. Tukakutana tena kila mmoja wetu akiwa anafanya kazi na kuanzisha uhusiano wakimapenzi. Tatizo ni kwamba siku za mwanzo tu za uhusiano, mpenzi akawa ana lazimisha tuanze kufanya mapenzi tena bila kinga wakati mimi na yeye wote hatujapima, nilipomkatalia ndio akaanza visa mpaka leo, mara ananinunia wiki, hapokei simu wala kujibu msg zangu kwa madai kuwa amekasirika na kususa, mara yuko busy sana hawezi kuonana na mimi kwa kifupi haeleweki tena. Naomba ushauri wenu nifanyeje maana nampenda but visa vyake vinanichosha na nahisi hana mapenzi ya kweli na mimi, wadau nahitaji mawazo yenu. Nawasilisha
wewe ni mkaka au mdada?
bt woteva...nji ivi uyo MDAU WAKO HAKUPENDI YEYE ALITAKA MCHUNGULIANE TU NA ALE KONA FASTA
SASA ulivyokuwa unamyeyusha ndo akanuna akaona ahh apa posibility ya kula mzigo hakuna ni bora nisepe
afazali kasepa
na ole wako nisikie unampigia simu tena nakwambia ntakuchapaaaaaaa ohoo ohoo dnt b victim wa ivo
hakupend na wala akutak sasa cha kumpigia cm?
MWENYE MAPENZ YA KWELI ALILIII PENZ KINGUVU..TENA ANAWEZA ASIGUSIE NA ATA AKIGUSIA NA UKIMWELELWESHA ALET FUJO ...
UYO WAKO ALIKUJA KIKAZ ZAID BT NTHNG LOVE
BYEEEEE...umenielewa lakin?
ole wako umpigie simu ntakugecha ohpohooo!!!!
Haaa haa Rose, thanks mpenzi, kuna wakati nakuwa na mawazo kama yapo but moyo unanidanganya, unaniambia dont give up, simpigii tena simu, naogopa utanichapa
Rose80.......ndo maana hunipigii simu eeh? BUT hatukukubaliana kupima kwanza, si ndio?:love:
Back to topic, hebu tuambie the One and Only, mmeshamegana kwa namna yeyote?
Rose80.......ndo maana hunipigii simu eeh? BUT hatukukubaliana kupima kwanza, si ndio?:love:
Back to topic, hebu tuambie the One and Only, mmeshamegana kwa namna yeyote?
dah nasikitka kwa kuitumia i sentens vbaya...na ntakuchapa kweli..
so unaweza kulala kaburini ukimlilia mtu aliyekufa afufuke ukisema dnt gve up?
in prio jamaa akupend a na akutaki
yaan uhusiano wenu umebebwa au ulitaka ubebwe na sex...thats no jig jig no uhusiano...my dear thats isnt love
uyo alikuwa na mingunga yake na angesafisha rungu apo wala usingemwona na ndo mana ukimpigia skuiz apokei cz anajua anachokitaka hakuna ,anaona unamyeyusha tu cz yeye ayupo kwako kukaa ni kupita shwaaaaaaaaaaaaa na ivi atak condom bas weee akipita shwaaa ashakuachia vrusi 8 na anasepa..WAKE UP SWEETIE
uo ndo ukike na uo ndo uanamke bora gangamala na uwe na msimamo...dnt kugawa gawa ovyo PIPI YA BIBI...na mtu akijifanya km unip unipend bas minaondoka ...mwambie plsss naomba nkusindkize...ASEPE FASTA
AKUPEND UYO ANATAKA MWILI WAKO TU SI KINGNE
KM UPO TAYARA KUMEGWA NA KUACHWA
KUDANDIWA PEUPE UKU UKIJUA UYU ANANIDANDIA TU NA KUSEPA BAS ENDELEA KUMPIGIA SIMU
NA KWANZA UTARATBU GAN U WA WEWE KUMPIGIA SIMU JAMAA 24 7 WAKAT YEYE HANA MPANGO ATA WA KUKUBP?UWEZ KUSENSE APA STAKIWI?
B A GARL,
B ALADY
WAIT FOR A GENTLEMAN ATAKAYEKUPENDA AS A WHOLE AND NOT SOME PART OF U
nimekwambia usimpigie....
Mkuu mgoma hiyo sepa na soma alama za nyakati
Hapo kwenye red majuto mjukuu, tii hisia zako mydearHabari zenu great thinker, nina tatizo ambalo naamini naweza kupata msaada kutoka kwenu.