Baba naona unacheza na moto veve !!
unaelewa madhara ya mapenzi kazini ? mi mwenzio mapenzi sijaanza leo, the way unaongea inaonyesha uko mapenzini.
Mi ushauri wangu kama uyo binti ushamkata achana nae mara moja kama hujadoo nae kaza msimamo ukiona umejaribu tu basi ujue hiyo sio kazi tena kama hapo ofisini we ni bosi basi ujue huyo binti atataka awe bosi wa hao wa chini yako !!
Tahadhari : hiyo tabia unayotaka kuanza mkeo akipata uhakika kuwa unafanya nae akaanza makeke mbona utadataa !!!
KUWA MAKINI !!