NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 234
- Thread starter
-
- #21
Well said, ila tambua dunia ina mambo mengi. Ndio maana hata mimi imenishangaza sana, mwisho nikaamua kuuliza nyie wajuzi wa haya mambo ili mnipe ushauri wenu. Otherwise nakushukuru kwa mawazo yako. ASANTEam Too young to hold this! How old are you? With that so called your gf? Aisee huu mchezo ni wa zamani sana! Duuh! Pole kijana! Mnadanganyana! Acheni kupotezeana muda!
Mkuu mimi sio BUSHOKE, mimi ni Ngoswe wa Ngoswe. Maoni yako tafadhali!Hii sasa kali...!! Hivi wewe ni bushoke?
Kiongozi...huyu msichana yeye hasomi...ni mfanyakazi serikalini huko mkoani Katavi.Kuna jamaa alileta uzi unaomuhusu rafiki yake wa ki love story, nikamuuliza rafiki yako anasoma akasema ndio! na wewe nakuuliza huyo msichana anasoma?
Kaka nakushukuru kwa maoni yako. Ila mimi sio mbishi , ninapenda ushauri pasipokufanya maamuzi ambayo mwisho wa siku yatakuwa sio sahihi. Ndio maana nikaomba utie neno. Otherwise nakushuru kwa upendo na kunifungua macho kuhusu hili jambo. ASANTE.Hapo kifupi ni kwamba umechanganywa kwenye jiko la mafiga matatu au Zaidi.
Natumaini hata wewe unaelewa ila mbishi tu.
Kama hujaelewa basi una matatizo makubwa kuliko hili.
Hii ni mpya uliza vizuri wanaomjua
usikute ana matatizo ya akili
Khaaaaaa nimeshindwa kushangaa.
Mwanamke anayekupenda atakughasi muwasiliane muda wote. At least hawezi kutaka kuku block.Kaka nakushukuru kwa maoni yako. Ila mimi sio mbishi , ninapenda ushauri pasipokufanya maamuzi ambayo mwisho wa siku yatakuwa sio sahihi. Ndio maana nikaomba utie neno. Otherwise nakushuru kwa upendo na kunifungua macho kuhusu hili jambo. ASANTE.
Usipoteze muda, hakuna mapenzi ya aina hiyo inaonyesha mpo 2 hivyo anapima upepo wa upande mmoja na baada ya japo kama kule hapaeleweki anardi kwako kama kunaaeleweka ndio ntolee na namba anabadili kabisa.
Sawa mkuu.Kiongozi...huyu msichana yeye hasomi...ni mfanyakazi serikalini huko mkoani Katavi.
Mmh wanawake tunavyoliliaga kuwasiliana hivyo. Alikupa sababu gani ya kublockiana?Ndio hivyo dada yangu hiyo ndio hali halisi....sasa unanishauri nini kuhusu hilo, funguka please.
Notable point!hapo kuna mtu mwengine kashaingia kwenye nafsi yake na ww anakuona kama msumbufu.
M'block nanilihu buana!Khaaaaaa nimeshindwa kushangaa.