BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Usioe kwa huruma, oa kwa sababu anakutamanisha awe mkeo. Maisha ya.ndoa.huanza baada ya kufunga ndoa.
Mwambie wazi utalea mtoto, ila ndoa hapana.
Thread closed.....
Ila wanaume muache uchefuzi khaa