mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
- Thread starter
- #21
Smile,
My brother ni mtulivu sana na expectation zake hazikuwa kutaka uhusiano wa kudumu na huyu dada ila tuu kupunguza stress na alihamaki kwa kuona binti kapata ujauzito akiamini kuwa binti kamtegea, pia angeweza kuitoa hiyo mimba but kwa busara zake akaamua kuiacha na pia kumhudumia huyo binti ingawa wana maelewano mabovu kabla hata ya huo ujauzito kuwekwa bayana.

alihamaki ujauzito? wakati wa kungonoka tena bila condomu mbona hakuhamaki alivoona k?
akimuacha huyo mama kijacho ajue dunia haitakuwa sawa ten kwake
hivi wanaume kama huna future na mtu si umwambie tu bana eeh mimi nataka tunda kidogo tu nisepe kwa leo mwanamke aamue mwenyewe akupe ama vipi
sio unampromise mambo kibao mdada wa watu anajiachiiia mguu kigoma mwingine nairobi na wewe unajimwaga baharini kama kwako vile.ikija issue ya mimba eti unahamaki muda mfupi. kwani mimba huwa inawekwa kwa siku au miaka mingapi? si tendo la siku moja tu tena dakika?
mnakera.mtuwache tupumue na k zetu