Niko njia panda naomba ushauri wenu.

Niko njia panda naomba ushauri wenu.

mwathu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
403
Reaction score
210
habari wana jamvi,
Naomba msaada wa ushauri kwa ndugu yangu ambaye amefikwa na makubwa sana kiasi cha kuwa njia panda asijue afanye nini.

Kaka yangu alikuwa na mpenzi wake tumuite X ambae walipendana sana kaka akiwa ndio kaanza kazi na shemeji X akiwa ni mwanafunzi wa chuo wote wakiishi mkoani Arusha. mapenzi yao yalikuwa mazuri kiasi ambacho kilinifanya sana nitamani na mimi kuwa na mpenzi hatimae ndoa, Miaka miwili baadae brother alihamishiwa dar kikazi na mpenzi wake nae akawa amemaliza masomo hivyo wote wakarudi dar, baada ya kurudi dar ndipo shida zikaanza shemeji X akaanza visa mara hana muda, yuko busy na family affairs, akapata na temporary job ambayo ikazidisha ubusy wake kiasi cha kushindwa kabisa kuonana ingawa wanaishi maeneo ya jirani (ubungo na Mwenge). Brother akasumbuka sana kutafuta reconciliation na mpenzi wake bila mafanikio na alijaribu mpaka kuzungumza na dada wa shemeji X lakini haikusaidia, basi mwisho na yeye akakata tamaa na ikawa kama vile uhusiano wao umekufa (dormant) ingawa walikuwa wanazungumza vizuri kwa simu. Miezi nane baadae brother akapata demu mwingine ambae haikuwa serious enough kwani walidate kwa muda mfupi tuu ila few months later huyu demu akapata ujauzito ambao brother alihamaki sana coz hakutegemea kitu kama hicho kwa kuzingatia uhusiano huo wa muda mfupi na pia kutokuwa kwake tayari kwa mambo ya ndoa, Mbaya zaidi shemeji X nae sijui kapata wapi taarifa akampigia brother simu mara nyingi akiomba msamaha na kusema family affairs zake zimekwisha na sasa yuko tayari kuendeleza mapenzi yao kama zamani. Ushauri anaoutaka kaka yangu ni je aendelee na mpenzi wake wa zamani (still anampenda) na kuendelea kutoa matunzo kwa mama kijacho wake mpaka ajifungue, au kuamua kumchukua mama kijacho (ingawa hana mapenzi nae sana coz wanatofautiana mara kwa mara) au awaache wote na ahudumie tuu huo ujauzito akisubiri chaguo lake la kweli toka kwa mungu. Nisaidieni maana huyu ndugu yangu atakuwa chizi na hawa wanawake wanampa stress mpaka basi.
 
Huwa kuna tatizo sana unapopenda usipopendwa na kukataa kukubali kuwa haupendwi ...! Mara nyingi matokea yake ni njia panda za namna hii ....
Nitarudi baadaye, ngoja nipate gawaha kidogo!
 
alihamaki ujauzito? wakati wa kungonoka tena bila condomu mbona hakuhamaki alivoona k?
akimuacha huyo mama kijacho ajue dunia haitakuwa sawa ten kwake
hivi wanaume kama huna future na mtu si umwambie tu bana eeh mimi nataka tunda kidogo tu nisepe kwa leo mwanamke aamue mwenyewe akupe ama vipi
sio unampromise mambo kibao mdada wa watu anajiachiiia mguu kigoma mwingine nairobi na wewe unajimwaga baharini kama kwako vile.ikija issue ya mimba eti unahamaki muda mfupi. kwani mimba huwa inawekwa kwa siku au miaka mingapi? si tendo la siku moja tu tena dakika?
mnakera.mtuwache tupumue na k zetu
 
Hapo sioni unjia panda wowote, ila nahisi hao wadada ndio muda si mrefu atawaweka njia panda.
Huwezi panda nanasi ukavuna matikiti, yaani kirahisi tu unamjaza mwanamke wa watu mimba halafu unajifanya kurudi kwa "la mujer de mi vida"...wanaume sisi wanaizaya kweli.
 
awaache wote.asubiri ,mwingine.
 
Kwanza kabisa bado sijaelewa watu wanaowalalamikia wapenzi wao kwa kupata mimba?...kama ulipiga peku sasa unalalamikia mimba ili iweje?...Na pili iweje udate na mtu afu akishapata ujauzito useme simpendi sana??..Ushauri wangu, huyo jamaa yako (i guess ni wewe mwenyewe) kwa sasa alee mimba na baadaye akizaliwa alee mtoo...Astick kwa mtu mmoja kwa sasa ambaye ni mama kijacho..huyo wa zamani ampotezee...na kama kwa mama kijacho itashindikana basi asonge mbele ila asisahau matunzo ya mtoto..................
 
Umeongea kwa hisia sana ..pole Smile

alihamaki ujauzito? wakati wa kungonoka tena bila condomu mbona hakuhamaki alivoona k?
akimuacha huyo mama kijacho ajue dunia haitakuwa sawa ten kwake
hivi wanaume kama huna future na mtu si umwambie tu bana eeh mimi nataka tunda kidogo tu nisepe kwa leo mwanamke aamue mwenyewe akupe ama vipi
sio unampromise mambo kibao mdada wa watu anajiachiiia mguu kigoma mwingine nairobi na wewe unajimwaga baharini kama kwako vile.ikija issue ya mimba eti unahamaki muda mfupi. kwani mimba huwa inawekwa kwa siku au miaka mingapi? si tendo la siku moja tu tena dakika?
mnakera.mtuwache tupumue na k zetu
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio mshauri mzuri kwenye maswala ya ndoa sababu ni dictator
 
Kwanza amweleze mkewe yote yaliyotokea kuhusu huyo mama kijacho ili mke aweze kutambua na kuchukua maamuzi yake mwenyewe hivyo kusaidia kulihandle tatzo kadiri iwezekanavyo. Kuhusu huyo mama kijacho, jamaa anatakiwa kutunza mimba mpaka mtoto atakapozaliwa huku akijua ni lazima amlee huyo mtoto kwa muda wa miaka 7 ndoa atakuwa na uwezo wakumchukua kama hatotaka kuwa na huyo mama kijacho.
 
Hivi we mleta sredi unazijua njia panda au unazisikiaa??huyo kaka yako hata double road hana seuze cross roads??Ana umri gani huyo kaka yako??mwaambie aache....:majani7:
 
Kaka yako hana haja ya kuomba ushauri kwani huyo aliye na ujauzito ndio chaguo lake maana kwa muda mfupi aliokuwa naye aliweza hadi kumuamini na kupiga mambo bila kinga.
 
mwambia achukuwa wa sasa banah, yule mambo mengi a.k.a ajaturia coz 8months ka.sha.go.ng.wa sana......
 
Hapo sioni unjia panda wowote, ila nahisi hao wadada ndio muda si mrefu atawaweka njia panda.
Huwezi panda nanasi ukavuna matikiti, yaani kirahisi tu unamjaza mwanamke wa watu mimba halafu unajifanya kurudi kwa "la mujer de mi vida"...wanaume sisi wanaizaya kweli.
ndo hasara ya kudate wachaga
 
Jamani nashukuru kwa mawazo yenu mazuri, Mimi niliombwa ushauri tuu na sikweli kama mimi ni mhusika. Huyu brother alishajicommit kwa mpenzi wake wa kwanza na alimuamini sana ila usumbufu alioupata kule ndio ukamfanya aingie kwa shemeji wa pili akiwa na lengo la kutuliza stress na bahati mbaya mtoto wa watu akanasa, kimsingi yuko tayari na hata sasa anamhudumia huyu binti ingawa bado hajadisclose hiyo issue kwa wazazi wa pande zote mbili, tatizo ni mapenzi ndio yanampa shida coz haamini kama wataendana na mama kijacho coz wanakorofishana kila leo na kila mmoja anadai mwenzie ndie tatizo.
 
Aendelee kuwa observe wote, time will tell yupi anafaa ila ahakikishe wanajuana.
 
Madame,
Huyu brother sio chizi ni mtu decent sana na hata ukimuona utashangaa, ana mafanikio makubwa kimaisha, kishule, kiimani ila mapenzi ndio yanamcost.
 
Niliona umeongelea from women's perspective, kiasi nikaona kama wanaume type hizi wanakukera sana ndo maana nikakupa pole

pole ya nini mkuu?
Mimi sio victim wa huyu useless man!
 
issue ni kuwa awaobserve kwa lipi maana huyu mama kijacho angekuwa ametulia basi angeweza kufanya maamuzi lakini anashindwa coz haoni wapi penye unafuu

Back
Top Bottom