God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,312
- 1,533
Hizo ni hadithi mkuu ni za kutungaKama malaika Gabriel alimtokea Mariam na kumwambia utapata mtoto Kwa uwezo wa roho mtakatifu na jina lake utamuita yesu na atakuja Kwa ajili ya kuikombia Dunia....
Tusome hapa kidogo
Wazazi wake walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka. Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Baada ya sikukuu, walianza safari ya kurudi makwao, lakini Yesu alibaki Yerusalemu bila wazazi wake kuwa na habari. Walidhani alikuwa pamoja na kundi la wasafiri, wakaenda mwendo wa kutwa, halafu wakaanza kumtafuta miongoni mwa jamaa na marafiki. Kwa kuwa hawakumwona, walirudi Yerusalemu wakimtafuta. Siku ya tatu, walimkuta hekaluni kati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima. Wazazi wake walipomwona walishangaa. Maria, mama yake, akamwuliza, “Mwanangu, kwa nini umetutendea hivyo? Baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni.” Yeye akawajibu, “Kwa nini mlinitafuta? Hamkujua kwamba inanipasa kuwa katika nyumba ya Baba yangu?” Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Basi, akarudi pamoja nao hadi Nazareti, akawa anawatii.
Swali langu ni kwamba inakuwaje biological mother wa mkombozi wa Dunia anasahau majukumu aliyoachiwa na malaika wa Mungu kuhusu mwanae atakayeikomboa Dunia...
Imo Jesus was just a scholar
Lakini according to historians ni kweli yesu alikuwepo.Hizo ni hadithi mkuu ni za kutunga
Japo kwenye amri za Musa Kuna mahala wanasema usijijengee sanamu ya kuchonga...Mkuu amesahau vipi majukumu yake? Unamaana kumchunga mtoto au
Waza tuu mkuu😅Una swali!!
Kanisa gani!? 😂🤣
Jesus was realHata ivo hayo yote ni mastori tu hayana uhalisia.
Mungu anataka na nyie muende motoni mileleAfu hizo siku 3 zote katoweka alikuwa anakula wapi msosi? Kwani alikuwa na maokoto? Alilala wapi na hakuwa na ghetto?
Afu kwanini Mungu hakumuua tu shetani ili kumaliza bifu kuliko mlolongo mrefu mpaka akamtoa mwanae adedishwe kwa ajili yetu? Simple tu, kill satan case closed
Tukachome mahindi au tukakaange mishikaki?Mungu anataka na nyie muende motoni milele
Wanahistoria wamebaki na swali kubwa sana kuhusu habari ya kufufuka kwake.ikionekana ni habari ambayo ina discrepancy nyingi sana.Lakini according to historians ni kweli yesu alikuwepo.
Biashara za watu hizo mzeeWaislam wanasema non muslims hawatoiona pepo, mpaka pale watakapomgeukia 'allah'.
Wakristo wanasema wasio Christians hawatoingia mbinguni isipokuwa tu kama watamkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yao.
Mayahudi hao sijui nao vp,
Ko hii ngoma nzito
Inaonekana mariamu alikuwa mtu wa vaibu hivyo ikapelekea kutojali mambo ya msingiSwali langu ni kwamba inakuwaje biological mother wa mkombozi wa Dunia anasahau majukumu aliyoachiwa na malaika wa Mungu kuhusu mwanae atakayeikomboa Dunia...
Kumbuka Yesu ni "Mungu kweli" na ni "mtu kamili". Kuna wakati alifanya matendo ya kibinadamu kam aulivyo mimi na wewe, na wazazi wake walimulewa hivyoKama malaika Gabriel alimtokea Mariam na kumwambia utapata mtoto Kwa uwezo wa roho mtakatifu na jina lake utamuita yesu na atakuja Kwa ajili ya kuikombia Dunia....