Niko na swali naomba wataalam wasomi ,wanasheria na wanasiasa wanijibu

bra easy

Senior Member
Oct 18, 2015
162
93
Wadau kama tulivomsikia jaji lubuva na wenzake wakisema kwamba rais magufuli hana uwezo wa kuingilia na kuutatua mgogoro wa kisiasa Zanzibar kkikatiba yaani katiba hairuhusu, sasa swali langu ni hili, 1.jee katiba ya Tanzania inamruhusu kutatua matatizo ya burundi .2 jee kama katiba hairuhusu kutatua matatizo ndani ya muungano wake sawa ss jee hyo katiba inampa uwezo wa kupeleka majeshi Zanzibar na kupiga wananchi na hata kuwauwa ? 3. Vp kiongozi wa nchi ya muungano hawezi kutatua matatizo ya muungano wake sasa hapo kweli kuna muungano ?
 
Back
Top Bottom