Wakuu nimekufa nimeoza kwa sada salum mkuya.Hivi kaolewa??nikimuona tu moyo wangu chaaaaaaali
Ebu mnijuze
Mimi napita na sitarudi
Mimi napita na sitarudi
Mkuu hiyo picha katoka vibaya tu..huyu mh ananivutia sana..onana nae live utakubali..afu ana sauti mjalabu sana...duh
Mkuu hiyo picha katoka vibaya tu..huyu mh ananivutia sana..onana nae live utakubali..afu ana sauti mjalabu sana...duh
Muone live mkuu picha ya nini....nataka kujua kama kaolewa or bado.unajua hilo??