Niko Dilemma wana MMU...

Jamaa hamtamkii mambo ya ndoa kwasababu dini zao tofauti. Huenda na yeye yupo kwa dilemma ya dini si ajabu na yeye anatafuta wa dini yake. Oa tu kama huna wivu


Ahsante mkuu kwa ushauri wako.
 
Katika hiyo situation wewe mwenyewe ndio ujitafutiaye mabaya...
Kumbuka;;
Uki panda mahindi uta vuna mahindi..
Amka!
Fanya uamuzi mzuri na kwa usahihi!🙄
 
Huyo demu si "wife matterial". Kama ameweza "ku-cheat" na wewe huku akiwa na bwana wake, basi nina uhakika kwamba hatosita kukufanyia hivyo pindi mtakapofunga ndoa. Kwake yeye huo ni mchezo wa kawaida tu. Pengine mko watatu hapo, ila wewe unamjua mmoja tu. Game kama hizi ni tamu na rahisi kucheza kama haupo kwenye ndoa, lakini masuala ya ndoa yakiingia hapo inakuwa ngumu sana kuvumilia. Umesema yuko na bwana wake kwa vile anamsaidia kimaisha, sasa ukishamuoa, halafu hali ya kiuchumi ikawa ngumu huoni kwamba atatafuta bwana mwingine nje ya ndoa ili amsaidie kiuchumi?? What goes around comes around. Once a cheater always a cheater. Ushauri wangu, endelea kumgegeda wakati unatufata mke wa maana, sio wa ku-share. Demu anawachezea huyo.
 


Dah! Mkuu umeongea maneno mazito sana,,sasa inakua ngumu kutafuta msichana huku huyu uko nae halafu la pili yaan moyo wangu sijui unakuaje hembu fikiri jambo km hilo.
 
Dah,kumbe wa ndo unaye mzuzua dem wa rafiki yangu?asalaleeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…