Niko Dilemma wana MMU...

Kosa kubwa ulilofanya ni kukubali kuchanganywa huku ukijua you are serious with that lady. Mwambie achague moja wewe au yeye. Lakini kuwa makini kama jamaa yake ni mchaga, unaweza ukapotea.


Nilikubali kuchanganywa sababu sikuwa na ishu nae zaidi ya kupiga mzigo sasa nimeonja Asali nataka kuchonga na mzinga kabisa.....Hahahaah kina Mushi wameenda Hijja Moshi .
 
Aiseeh! Kweli umependa! Yani unashare love? Unamoyo wewe! Anyways sa skia..kama kweli unamuhitaji huyo binti awe mkeo nayeye amekubali kuwa pamoja nawe basi make sure huyo binti na huyo jamaa yake wameachana haswaa! La sivyo sikushauri umuoe wakat bado wanamahusiano utasuffer!! btw mbona kunambinu nyingi tu za kuachana na mtu tena kiulaini kabisa bila magomvi na mtu akakuelewa inamana huyo binti ameshndwa ama? Mwambie aaachane naye kwanza ndipo umuoe.otherwise ni majanga!
 
Hapa unataka kujiumiza roho.huyu binti afanye maamuzi kabla ya kuolewa.haiwezekani akaendelea na zoezi la kuwagawia wote kwa zamu na wewe unaona sawa tu.kama anakupenda kweli aachane na huyo jamaa halafu ndio muingie kwenye kipindi cha uchumba kwa muda ili muone kama mnaweza kusogea hatua nyingine.bila shaka wote wawili hamtumii kondom.sasa subirini mimba itakapoingia ndio atakapochagua ampe nani jukumu lisilo lake.
 


Kupenda dada angu japo nishajipigia Wanawake kipindi hicho ila sasa hivi Nanga imetua kwa huyu tena akiwa na mtu wakati zamani nilikuwa naona mtu akiwa hivyo bonge la boya.
Hana shida kuhusu kumuacha huyo jamaa ila apate uhakika wa mimi kumuoa. Na mimi hapo ndio nipo interpersonal kwamba sijui nifanye maamuzi magumu or what.
 

Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako,,bado nachanganua ushauri wa wadau.
 
Sioni tatizo hapo kama roho imeridhika we oa,, mwambie ukweli aachane na huyo jamaa.
Kosa la huyo mdada ni kuwa mkweli.
 
Sioni tatizo hapo kama roho imeridhika we oa,, mwambie ukweli aachane na huyo jamaa.
Kosa la huyo mdada ni kuwa mkweli.

Ahsante sana dada angu ila hana kosa na bora aluvyoniambia ukweli na kumuamini kuliko angenidanganya.
 
!
!
kuna kitu kinaitwa opportunity cost, hebu jaribu kukiangalia halafu utajua cha kufanya




 
Ukitilia maanani jinsi ilivyokuwa ngumu miaka hii kupata mdada unayempenda sana kiasi cha kuona anastahili kuwa Mkeo na yeye kukuona unastahili kuwa Mumewe, huu ushauri pia ni nzuri, ila hakikisha na uwe na uthibitisho kwamba kweli wameachana. Usikubali tu maneno ya mtarajiwa kwamba, "nimeshamwambia kwamba mimi nimepata mchumba kwa hiyo mahusiano yetu mimi na yeye yamefikia ukomo" Kila la heri Mkuu nasubiri card ya mchango na mwaliko wa kuja kujirusha kwenye harusi yenu 🙂🙂. Usisahau kurudisha feedback ya nini kinaendelea.


 

Wew owa hakuna binadamu anaejua ya kesho zaidi zaidi utafanya probability
 
Ndg nakushangaa. Unasema kuwa unajua kabisa huyu mama anamegwa na jamaa mwingine lakini hayo hayakuumizi. Umeamua kuwa sasa unataka kuvuta sebuleni upeleke ndani; weye ni zaidi kabisa tena una moyo mgumu ka jiwe.
Utajisikiaje kama jamaa atakuja naye amkumbushe mema alio mtendea halafu amwambie waendelee kama kawa? Huwezi kumnyima fursa hiyo kwani hata weye unajua wazi kuwa ndiye aliyemfikisha alipokuwa ukamkuta.
Jambo lingine ni, unajisikiaje weye unapomkuta ndiyo siku hiyo mwenzio ametoka hapo nyumbani labda mchana huo tu. Ndg yataka moyo. Wenzio hatuna moyo huo, hata kama ni mke wa mtu dushe haisimamishi mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…