mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 69 Jul 20, 2015 #1 Habari wakuu nipo Dar (Kimara) kwa mtu anaekodisha marine board naomba ani-pm natarajia kumwaga zege kwa ajili ya slab wiki ijayo Mungu akijalia uzima.
Habari wakuu nipo Dar (Kimara) kwa mtu anaekodisha marine board naomba ani-pm natarajia kumwaga zege kwa ajili ya slab wiki ijayo Mungu akijalia uzima.
Captain Phillip JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 894 Reaction score 538 Jul 20, 2015 #2 Username yako inapunguza credibility ya ulipaji hasa unapokuwa na request kama hii ya kufanya business
Username yako inapunguza credibility ya ulipaji hasa unapokuwa na request kama hii ya kufanya business
mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 69 Jul 20, 2015 Thread starter #3 Tuache masihara kwenye mambo ya msingi, kama huna hoja its better ukakaa kimya, thanks in advance Captain Phillip
Tuache masihara kwenye mambo ya msingi, kama huna hoja its better ukakaa kimya, thanks in advance Captain Phillip
N nrango Senior Member Joined Jun 6, 2011 Posts 102 Reaction score 24 Jul 21, 2015 #4 Kuna jamaa anakodisha maeneo ya boko ccm ..nilikuwa na namba yake nimepoteza ...upande wa kulia kama unatokea tegeta
Kuna jamaa anakodisha maeneo ya boko ccm ..nilikuwa na namba yake nimepoteza ...upande wa kulia kama unatokea tegeta