Niko addicted sana na mwanamke wa dizaini hii...

Niko addicted sana na mwanamke wa dizaini hii...

Huyo ni mwanamke au picha ya mwanamke
Wakuu habari zenu, weekend imekaaje?? Wanasema kipenda roho hula nyama mbichi
Binafsi hakuna mwanamke anaenitoa udenda hasa akiwa ana hips, kifua kizuri , shape flan hv na awe mweupe jaman jaman!!,nipo addicted na hizi type yani mwanamke wa dizain hii hta pesa yangu akiitafuna sina shida kabisa aile tu asee. Kila mtu anatype anazopendlea binafsi

Je unapenda wa dizain ipi??View attachment 1134447
 
Nifanyeje niwe na shepu kama ya hiyo Dada..serious nisaidieni mawazo
Urefu ninao kama huo.mwili wastani kama huo.nyonga pana tatizo hapo kati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom