Siasa hawezi kabisa labda aendelee kujikita kwenye muziki kabisa!
Yani ana papara sana na wala hajui kuwa kuna wakati anatakiwa awaachie wenzie nafasi ya kuongea...! Tangu nianze kumfatilia pale 360 sijawai kuona cha maana kutoka kwake!
Nimekuwa nikijiuliza hivi Clouds TV huwa hawana watu wakualika zaidi ya Nick? Jana ndio kabisa..!
Mimi ninge mshauri abaki kwenye muziki kwenye siasa awaachie wengine!

Anazingua na maswali yake ya kuchalenge kiuanafunz mpaka zito akawa anamaind anauliza swali hujamaliza kujibu anakukatisha kifupi ana maswali ya kuku na yai kipi kimeanza sometime jibu analijua lakin anauluza maswali ya kuleta majibu ya kichwan kwake
May be ana madini mengi lakini hayaweki katika mtiririko mzuri. Anauliza swali akitarajia jibu lililopo kichwani kwake kabla hujamaliza anauliza tena ili uingie kwenye jibu lake, sasa huo ni utoto wa wanachuoteh teh teh...hoja yako imefunikwa kwa hii presentation yako, imekufanya uonekane ni 'hater!'...so sad
Hii ndio ilikuwa hoja mkuu, nami nakubaliana nawe kabisa!May be ana madini mengi lakini hayaweki katika mtiririko mzuri. Anauliza swali akitarajia jibu lililopo kichwani kwake kabla hujamaliza anauliza tena ili uingie kwenye jibu lake, sasa huo ni utoto wa wanachuo
Hakuna hip hop hizo ulizotaja hapa duniani, Labda huko mars.. Hip Hop ni Hip Hop haigawanyiki.
Kwingine uko sawa mkuu.
Sio tu nnaifahamu hiphop ila nimeiishi hiphop...so usiw na shaka na content yangu ya hiphop.Hua wananiudhi sana Hawa watu wanaojifanya wanaijua hiphop mara hiphop shule mara hiphop ngumu,hiphop kumkuba,hiphop ya kisasa at the end of the day t shows they knw nothing about hiphop
siijuji unaifahamu hiphop gani hasaSio tu nnaifahamu hiphop ila nimeiishi hiphop...so usiw na shaka na content yangu ya hiphop.
Na nimekusiliza kwenye kipindi cha siasa za siasa nimegundua mambo matano kuhusu wewe.
1. Una ufahamu mkubwa sana kuhusu mambo mengi.
2. Unasoma sana vitabu hivyo vinakujenga kifikra na kimtazamo
3. Una ujuzi wa kuwasiliana kwenye mazungumzo, unasikiliza, unatafakari ndipo unaongea
4. Una maono, mazungumzo yako yamejaa maono ya mbali ni aina ya watu wanaoifikiria kesho na kesho kutwa kila sekunde
5. Wewe ni hazina kubwa ya nchi hii, wanaokubeza wafikirie mara mbili kuhusu wewe.
WEWE NI INSPIRATION.