Hii ngoma ni noma sana mkuuNaikubar sana FEEDBACKS ya nikki mbishi.......nikki mbshi n moja kat ya ma emcee wangu naowakubari.!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza cheka hahahaha/Iko wazi Unju niko real sana still kama Dre Tangu bysser anaitwa Lil summer.... unju kwenye Beat ni Massuker naua sana malafa wa hiphop ni mahaba niue Maua sama....
Kuna wasanii hawana zali kuna huyo niki ,one incredible na zaiid naona media zimewakazia, japokuwa ni wakali sana.[/QUhawa wasanii huiwa wanakosea kwenye chorus, mbona niki mbishi alimshirikisha benpaul kwenye playboy na ngoma ikawa kubwa sana,sasa sijui hakujifunza, maana sijaona akitoa tena ngoma kama ile