bablon6 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 630 Reaction score 568 Feb 1, 2018 #1 Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu...
Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu...
bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,099 Feb 1, 2018 #2 we wa motoni sio mbinguni
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,720 Reaction score 2,393 Feb 2, 2018 #3 bablon6 said: Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu... Click to expand... Kwaiyo unataka kuiuza etii
bablon6 said: Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu... Click to expand... Kwaiyo unataka kuiuza etii
bablon6 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 630 Reaction score 568 Feb 2, 2018 Thread starter #4 Dah..! Ningetoa hata tofali niuze
K kijani kibichi JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 315 Reaction score 317 Feb 2, 2018 #5 Hahhaha kweli vyuma vimekaza
Jay Wa Msimamo1 Member Joined Nov 30, 2017 Posts 18 Reaction score 17 Feb 5, 2018 #6 bablon6 said: Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu... Click to expand... Hahahaha
bablon6 said: Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu... Click to expand... Hahahaha